HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hawa psrs kama siwaelewi vile,iweje kuna watu tumepiga oral toka mwezi wa nne hatujapata mrejesho wowote mpaka sasa,afu kuna watu hao wa BOT wamefanya juzi tu hapa mwezi huu lakini wao tayari wameitwa kazini?
Naona kama Sekretarieti ya Ajira mna upendeleo flani hivi
 
Tulia acha makasiriko utaitwa muda ukifika mkuu. BOT ni kama vyuo vikuu ina uwezo wa kulipa watu wake kwa wakati lkn huku kwengine ni tafran mpaka hazina
 
Hawa psrs kama siwaelewi vile,iweje kuna watu tumepiga oral toka mwezi wa nne hatujapata mrejesho wowote mpaka sasa,afu kuna watu hao wa BOT wamefanya juzi tu hapa mwezi huu lakini wao tayari wameitwa kazini?
Naona kama Sekretarieti ya Ajira mna upendeleo flani hivi
Relax mkuu, sisi tulikuwa hapa mwaka jana tulitoa mapovu yote tukamaliza! Na hakuna kilichotokea, Utapangiwa tu kama ipo!
 
83B08AE3-3FDB-4E1D-97D1-B61E51928ADD.jpeg

😁
 
Back
Top Bottom