Evidence mwakaway
Senior Member
- Jun 17, 2026
- 141
- 233
Kile chumba sio mchezo point zote zina vapour kila swali unakumbuka point 2 2 tu nazo hazina mpangilio mzuri
Kile chumba ni chepesi ukiwa nje ukiingia huo moto wake ni hatari unaweza kujisahau hata wewe ni naniKile chumba sio mchezo point zote zina vapour kila swali unakumbuka point 2 2 tu nazo hazina mpangilio mzuri
Afu ukitoka nje ukamuiliza chatgpt maswali uliyoulizwa mpaka unashangaa yalivyokua marahisKile chumba sio mchezo point zote zina vapour kila swali unakumbuka point 2 2 tu nazo hazina mpangilio mzuri
Ukiwa unasubiria ajira, tafuta mume, anza maisha !Wanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
interview za tra walipiga maswali yote ma5 fresh tu na hizo point ulizotaja hazipoLabda kama ni community development io kuna low capital poor infrastructure na lack gvt supporting mkuu lkn huku kwingine ni vita wengine mpaka wanalia chumba cha mtihani
Hapo nimeweka mfano tu kakainterview za tra walipiga maswali yote ma5 fresh tu na hizo point ulizotaja hazipo
Duu wewe ndio unaamka sasa uzi wa 2022 huuUkiwa unasubiria ajira, tafuta mume, anza maisha !
Weee thubutu huyo CHATGPT ukimuuliza mara tatu athibitisha anakupa au anakuletea vingine au uliza grok,GPT,GEMIN META AI, kila AI anamajibu yake ***** ko bora utulie tu usubili placementsAfu ukitoka nje ukamuiliza chatgpt maswali uliyoulizwa mpaka unashangaa yalivyokua marahis
mimi mambo ya kufuatilia majibu after interview ndo nshashindwa hahahhahahhaWeee thubutu huyo CHATGPT ukimuuliza mara tatu athibitisha anakupa au anakuletea vingine au uliza grok,GPT,GEMIN META AI, kila AI anamajibu yake ***** ko bora utulie tu usubili placements
Nawajue na bado tutabanana hivyo hivyo tu mpaka kieleweke. Vip kwenye system huko mambo yanajipa bro??Kila la kheri wanangu wote mnaopambania kombe. Nowdays utumishi pamekuwa pamoto sana!
Mkuu me natoa tu hamasa kama mwananchi wa kawaida ila sifahamu chochote. Kikubwa ni kupambana hadi senti ya mwishoNawajue na bado tutabanana hivyo hivyo tu mpaka kieleweke. Vip kwenye system huko mambo yanajipa bro??
Sasa unafanyaje kumbe tunashinda kwenye portal yao tu kila siku na siku hamna pdfmimi mambo ya kufuatilia majibu after interview ndo nshashindwa hahahhahahha
Mungu akusaidie na ww upate au uongezewe mkuuMkuu me natoa tu hamasa kama mwananchi wa kawaida ila sifahamu chochote. Kikubwa ni kupambana hadi senti ya mwisho
AsanteMungu akusaidie na ww upate au uongezewe mkuu
Hivi huyu mwenye huu uzi yupo kweli maana ukute hata hajui alicholeta huku jukwaaniUkiwa unasubiria ajira, tafuta mume, anza maisha !
Alishalamba asali saiz atakumwandamizi huko kwa gavooHivi huyu mwenye huu uzi yupo kweli maana ukute hata hajui alicholeta huku jukwaani
Maisha ni kombolela!Hivi huyu mwenye huu uzi yupo kweli maana ukute hata hajui alicholeta huku jukwaani