HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Pia ni bora kutoa majibu kwamba mtu kapita then asubirie placement, hata kama itachukua mwaka at least anajua kazi nimepata, nasubiri kupangiwa kituo, ikiwezekana mtu ajue eneo atalopangia kama ni tandahimba au nangurukuru, akaanze kutafuta mashamba au kupiga debe hukohuko wakati anasubiria kuitwa kwenye kituo
Mkuu, ukimaliza oral endelea na maisha yako
 
Maana pia hakuna uhakika kuwa pdf zikianza kutoka jina lako litakuwa la kwanza kwenye pdf za mwanzo. Nataman hata nipate mishe nje ya nchi huko nikakomae zangu fresh kabisa
 
Hivi hakuna mbinu kabisa mtu anaweza kuitumia kujua kama kapata zaidi ya kusubiri pdf?
Maana ile ya selected for oral interview na not selected for oral interview naona kama sio ya kweli..
 
Hivi hakuna mbinu kabisa mtu anaweza kuitumia kujua kama kapata zaidi ya kusubiri pdf?
Maana ile ya selected for oral interview na not selected for oral interview naona kama sio ya kweli..
Unaona sio ya kweli kvp?

Kuna kuna mtu amekudanganya kuwa selected for oral ndo kupata kazi?
 
Hivi hakuna mbinu kabisa mtu anaweza kuitumia kujua kama kapata zaidi ya kusubiri pdf?
Maana ile ya selected for oral interview na not selected for oral interview naona kama sio ya kweli..
Kijana nimeona uzi wa gaming board uliingia oral vip awakukupa mkataba
 
Back
Top Bottom