HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Na vp waliojibu yote matano?
Unajua kingine humu lazima utambue kuna kuanzia certificate mpaka degree na hapo pia kuna kozi tofauti tofauti kuna interview mnaitwa watatu tu oral na ndio mliomba kazi ajira zaid ya 5 huwa tunaambizana baada ya pepa na kila mtu utakuta kajibu kulingana na uelewa na hayo majibu hamkufundishwa darasan hasa kwa interview zisizobase darasani
 
Labda kama ni community development io kuna low capital poor infrastructure na lack gvt supporting mkuu lkn huku kwingine ni vita wengine mpaka wanalia chumba cha mtihani

Mkuu,kitu kingine nilitaka kujua,hivi pale mtu unakua umepewa dakika 15,sasa jamaa wengine nilikua naona wanatumia mpaka dakika 20,mimi kiukweli nilitumia dakika 8 tu ..panelists wenyewe walituita wakatuambia maswali yote tutakayoulizwa just mention tu kuokoa muda..sasa nkashangaa wenzangu wameambiwa mention tu then wanakaa chumba cha usaili dakika 20?hii yangu ya kukaa dakika 8 tu haiwezi kinitoa kwenye ligi?
 
Ndio hao wanakua wanalia muda huo wanabembeleza kidg hata aongee chochote kitu
 
Mkuu,kitu kingine nilitaka kujua,hivi pale mtu unakua umepewa dakika 15,sasa jamaa wengine nilikua naona wanatumia mpaka dakika 20,mimi kiukweli nilitumia dakika 8 tu ..panelists wenyewe walituita wakatuambia maswali yote tutakayoulizwa just mention tu kuokoa muda..sasa nkashangaa wenzangu wameambiwa mention tu then wanakaa chumba cha usaili dakika 20?hii yangu ya kukaa dakika 8 tu haiwezi kinitoa kwenye ligi?
Pia mimi natumia mda mchache dk 15 hazikuisha
 
Back
Top Bottom