HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Interview yangu ya kwanza nimeingia oral nafanya kesho ila nipo na stress nimesahau kubeba koti la suti nasikia hawa jamaa wanazingatia sana mavazi
Koti sio lazima mkuu,wewe zingatia tu muongozo wao wa mavazi walioutoa
 
Hivi hizi kanuni huwa zinafuatwa kweli na hawa psrs?
 

Attachments

  • Screenshot_20260619_073036_WPS Office.jpg
    Screenshot_20260619_073036_WPS Office.jpg
    183.2 KB · Views: 16
Mwaka jana mwezi kama huu Mikeka ilikua inatoka non stop
 

Attachments

  • 20260619_095709.jpg
    20260619_095709.jpg
    996.4 KB · Views: 14
Hawa jamaa wangekuwa wanatoa majibu ya oral ingekuwa bora zaidi, ingefanya watu tupunguze matarajio makubwa ya pdf
 
Pia ni bora kutoa majibu kwamba mtu kapita then asubirie placement, hata kama itachukua mwaka at least anajua kazi nimepata, nasubiri kupangiwa kituo, ikiwezekana mtu ajue eneo atalopangia kama ni tandahimba au nangurukuru, akaanze kutafuta mashamba au kupiga debe hukohuko wakati anasubiria kuitwa kwenye kituo
 
Back
Top Bottom