Wanataka jobless wafe kwa pressureNi takriban siku 11 sasa bila PDF, Utumishi toeni PDF mara moja jobless tujue which is which ✍️🤐.
Wanataka jobless wafe kwa pressureNi takriban siku 11 sasa bila PDF, Utumishi toeni PDF mara moja jobless tujue which is which ✍️🤐.
Wewe siku 11 una lalama hivyo na sisi wa tokea April 14 tusemeje?Wanataka jobless wafe kwa pressure
Yaan ni hatari sana mkuuWanataka jobless wafe kwa pressure
Hujaelewaa nilichoandika..... mwenyewe nimepiga Oral hiyo tareheWewe siku 11 una lalama hivyo na sisi wa tokea April 14 tusemeje?
Ulimaanisha nini ndugu yangu?Hujaelewaa nilichoandika..... mwenyewe nimepiga Oral hiyo tarehe
Hahaha binadamu hamna shukran kabisa April tu hapo unalalama sisi wa 2025 December je??Wewe siku 11 una lalama hivyo na sisi wa tokea April 14 tusemeje?
Nilimaanisha kuwa ni takriban siku 11 hakuna PDF lolote limetolewa na utumishi kwa kada yoyote ile, haijalishi waliofanya usaili mwaka huu au mwaka jana... Bila shaka umeelewa?Ulimaanisha nini ndugu yangu?
Umri umefanya nini ?Eh bhana eee
Seran leo na mm Nimekutana na mambo ya umri za watu, tena kwenye paper zote mbili nilizofanya leo 😂
Haina shida wanamark hizo 4What if ukaambiwa mention point 5 wewe uka mention points 5 tuu?
Umri umefanya nini ?si ulifikiri nilikuwa natania eeh?
Kama upo na huku basi vijana wajiandae kulamba asalisi ulifikiri nilikuwa natania eeh?
Kama mtoto ana miaka 10 na baba ana miaka 40, Utafute umri wa baba ikiwa mtoto amekufaUmri umefanya nini ?
Una madini sana yani umesomq science generalsi ulifikiri nilikuwa natania eeh?
Dah utumishi pagumu mno 😂si ulifikiri nilikuwa natania eeh?
Ww endeleza swaga zako za mitongozoUna madini sana yani umesomq science general
kutafuta umri wa mtoto sijui mzazi bada au kabla au mara mbili ya..Umri umefanya nini ?
Mkuu niko poa hata uku we niulize swali nitakujibuWw endeleza swaga zako za mitongozo
nipo sana tu, trust me hakuna miujiza huku, u gotta earn it!Kama upo na huku basi vijana wajiandae kulamba asali