Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 3,239
- 4,484
Jibu ni yes inawezekana ,ukiwa na check number unahamia popote ni fighting zako tu mkuuEt wakuu mtu anaweza kuhama taasisi mfano TRA kwenda TPA lkn career zinafanana?
Jibu ni yes inawezekana ,ukiwa na check number unahamia popote ni fighting zako tu mkuuEt wakuu mtu anaweza kuhama taasisi mfano TRA kwenda TPA lkn career zinafanana?
Ahahaha mbona akaunt inafunguka vizur tuuuNitaona vipi na siwezi kuingia kwenye Account?
Nipo 3rd floor unaniita dogo? 🤣
Ingia saivi washawekaNitaona vipi na siwezi kuingia kwenye Account?
Nipo 3rd floor unaniita dogo? 🤣
Inawezekana kama unapoenda nafasi ipo.Et wakuu mtu anaweza kuhama taasisi mfano TRA kwenda TPA lkn career zinafanana?
NimeonaIngia saivi washaweka
Jibu ni yes inawezekana ,ukiwa na check number unahamia popote ni fighting zako tu mkuu
Kwenye written interview unahitajika kuwa na vitu gani? Uvaaji pia?Ingia saivi washaweka
Ahsante mkuu.Wewe Vaa official ila mwongozo wao huu hapa
Vyet original vyote four 4, 6, transcript, cha chuo na kuzaliwa pamoja na kitambulisho kati ya cha kura ,nida, leseni au passportAhsante mkuu.
Kwenye written interview, vyeti vya kitaaaluma unabeba?
Yyeti vyako original na kitambulisho cha NIDA au mpiga kura au barua ya utambulisho toka serikali ya mtaa,mvazi kwenye written sio ishu sana ata Tshirt na jeans unavaa ,ni wewe tu😁 ,kikubwa pendezaGuys mnijibu kesho nisije kuwa kihoja.
ShukraniVyet original vyote four 4, 6, transcript, cha chuo na kuzaliwa pamoja na kitambulisho kati ya cha kura ,nida, leseni au passport
Nakama kada yako inaleseni beba
Hii ya leo walikataa jeans and round collar shirts for men and women open shoes not allowed.V
Yyeti vyako original na kitambulisho cha NIDA au mpiga kura au barua ya utambulisho toka serikali ya mtaa,mvazi kwenye written sio ishu sana ata Tshirt na jeans unavaa ,ni wewe tu😁 ,kikubwa pendeza
Ngoja miaka 2 ipite kwanza nione itakuwajeInawezekana kama unapoenda nafasi ipo.
Mazoea ya jiji mabaya sana.Yaani juz umepata io kazi hata mwaka hujamaliza unataka kuhama mdogo wangu subiri kwanza kula hela ya madini
Unataka kusema ww una uzoefu mkubwa kuliko mimi?? SawaaMazoea ya jiji mabaya sana.
Hopes umeonja interview mkuu Mungu akutangulie kama umepita jiandae ipasavyo na oralKwenye written interview unahitajika kuwa na vitu gani? Uvaaji pia?