HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wanajikutaga wanasimamia Sheria lkn huko huko kwenye Sheria ukiwabama hakuna majibu ya maana wanayotoa

Hapo watakwambia Sheria za utumishi zinasema chini ya marks 50 umefeli Aya sawa turudi Tena kwenye Sheria za utumishi

Mbona zinasema mchakato inabidi uwe wa ukweli na uwazi Sasa kama ni hivyo mbona matokeo ya oral interview Huwa hamuyaweki wazi ?? Mbona issue ya database imekiwa kificho ??

Inshort ni ubabaishaji kwa kwenda mbele
wanazingua hapo tu..
 
Wanakwaza sana ila ndio hawajali hata! Hivi kweli tunasoma chuo ili iweje kama siku ya interview mtu anakula msuli tembo! Kwann tusimalize six twende kwenye hizi interview ata ukifeli huwezi kulalamika maana hujasoma! Sasa mtu ana miaka 10 mtaani akafanye mtihani na kitoto cha mwaka jana watakuwa sawa? Wanazingua.. hiyo data base ishakuwa story mtu haelewi kama kabaki au la..
upigaji au ulaji.
 
Kila la heri kwa wale ambao bado wako kwenye foleni ya kuitwa kazini.
Binafsi nilikuwa mmoja wao na nilikuwa sipoi hapa kwenye jukwaa kupata update mbalimbali 😊lakini Mungu amenionekania,tayari niko kazini.
Nilifanya usajili tar 29/5/2025
Nimeitwa kazini tar 5/9/2025.
 
Chuo ushindani na mtu, kwenye ajira unashindana na watu tena ambao huwajui kabsa na weng wamepigiga wanasoma kama umbwaaaa maisha yawe nafuu
Kmmk vijana muajiriwe sasa mamaé zenu, hongera teacher kwa kuwa mtumishi 600k take home per month. Sasa utafute form 4 wako failure mfunge ndoa uumfungulie kakibanda ka M-pesa
 
wanakua wanaangalia uhalali hasa kuangalia makadi yenu ya fiisiiemu na uwajibikaji wenu kwa the great killer , hasa hilo ndio kubwa otherwise wengine wanaingiaga chapu tu hata usaili hawafanyi kama wale wazenji wa immigration.
 
Back
Top Bottom