HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Recap:

My first comment katika huu uzi was on 02 August 2022. Kwa muda huo nikiwa nasubiri kuwa shortlisted kwenda written ya mkono (kabla Online haijaanzishwa).

Ilikuwa ni wakati mzuri sana kuwa katika huu uzi hadi ndoto zilitimia.

Mnaopitia huu uzi kwa sasa mtambue kuwa kuna maelfu wamepitia hapa na wametimiza ndoto zao za kupata nafasi za Asali kwenye maeneo mbalimbali serikali.
hello Brother!
Kuna ujumbe nimekutumia dm
 
Wakuu Kuna ishu hapa naomba muongozo wenu, kama mtu amepata kazi kwenye PDF ya utumishi na ameshaenda kuripoti anasubiri simu ya kuitwa kuanza kazi rasmi ghafla akapigiwa simu na taasisi ya serikali inayofanya mchakato wa ajira bila kupitia utumishi mfano TRA maana alifanya written na oral kwenye hiyo taasisi kabla hajaitwa kazini utumishi

hiyo taasisi mambo ni mazuri kwa upande wa maslahi, je huyu mtu anaweza drop kule utumishi anakosikilizia aanze kazi then a join kwenye hii taasisi mpya?, hili swala linawezekana??, nmeulizwa nimeshindwa kumjibu naomba muongozo wenu kwenye scenario kama hii.
 
Kama hiyo taasisi ni ya serikali itakuwa ngumu maana wakiingiza taarifa zako zitasoma ulipopangiwa kazi na utumishi.
 
Kama hiyo taasisi ni ya serikali itakuwa ngumu maana wakiingiza taarifa zako zitasoma ulipopangiwa kazi utumishi tayari.
Sasa hapo changamoto ni kwamba ameshapeleka documents zote ila check namba bado, maana hajaanza kazi hawezi kuhama kweli??, maana kote ni serikalini
 
Mwambie apambane aende huko kwenye Maokoto.. mambo ya kupangiwa Halmashauri na maslahi madogo sio mazuri.. Wahehe wengi wanajinyonga huko Halmashauri 😁
Wakuu Kuna ishu hapa naomba muongozo wenu, kama mtu amepata kazi kwenye PDF ya utumishi na ameshaenda kuripoti anasubiri simu ya kuitwa kuanza kazi rasmi ghafla akapigiwa simu na taasisi ya serikali inayofanya mchakato wa ajira bila kupitia utumishi mfano TRA maana alifanya written na oral kwenye hiyo taasisi kabla hajaitwa kazini utumishi

hiyo taasisi mambo ni mazuri kwa upande wa maslahi, je huyu mtu anaweza drop kule utumishi anakosikilizia aanze kazi then a join kwenye hii taasisi mpya?, hili swala linawezekana??, nmeulizwa nimeshindwa kumjibu naomba muongozo wenu kwenye scenario kama hii.
 
Sasa hapo changamoto ni kwamba ameshapeleka documents zote ila check namba bado, maana hajaanza kazi hawezi kuhama kweli??, maana kote ni serikalini
Kuna mtu alikataliwa na taasisi ya elimu ya juu, alipata kazi ya kufundisha hapo walipoingiza taarifa zake aliambiwa ameshapangiwa tayari kazi na utumishi na Wala hakuwahi kuripoti huko🤣
 
Sasa huyu ni kwamba hajala hata mshahara mmoja wa serikališŸ˜‚
 
Mwambie apambane aende huko kwenye Maokoto.. mambo ya kupangiwa Halmashauri na maslahi madogo sio mazuri.. Wahehe wengi wanajinyonga huko Halmashauri 😁
ishu hapo ni kua anapambanaje? Maana hajapata hata salary ya government, yeye anachotaka kujua afanyaje hapo
 
Sasa huyu ni kwamba hajala hata mshahara mmoja wa serikališŸ˜‚
Hakuwahi kuripoti kabla maana hakujua kama utumishi walishampangia, alivyoambiwa hivyo ikabidi akapambane na LGA tu maana hamna namna😭
 
Duh sasa si wanasemaga usiporipoti ndani ya siku 14 anapangiwa mwingine, na hizo za chuo si lazima apige usaili utumishi labda kama Kuna transfer vacancy, ila huyu ni zile taasisi zinazoajiri zenyewe
 
Basi sawa mwambie apambane,!
 
Wakuu Kuna ishu hapa naomba muongozo wenu, kama mtu amepata kazi kwenye PDF ya utumishi na ameshaenda kuripoti anasubiri simu ya kuitwa kuanza kazi rasmi ghafla akapigiwa simu na taasisi ya serikali inayofanya mchakato wa ajira bila kupitia utumishi mfano TRA maana alifanya written na oral kwenye hiyo taasisi kabla hajaitwa kazini utumishi

hiyo taasisi mambo ni mazuri kwa upande wa maslahi, je huyu mtu anaweza drop kule utumishi anakosikilizia aanze kazi then a join kwenye hii taasisi mpya?, hili swala linawezekana??, nmeulizwa nimeshindwa kumjibu naomba muongozo wenu kwenye scenario kama hii.

Aende kwenye Taasisi huko,
Hii haitakua kessy ya Kwanza
 
Back
Top Bottom