HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tangu uzaliwe unapimwa na kupimwa kwa mitihani! Watakuamini tu ukipata marks zao, kwanini wasichukue hao walio top ata kama hawajafika pass mark yao
Wanajikutaga wanasimamia Sheria lkn huko huko kwenye Sheria ukiwabama hakuna majibu ya maana wanayotoa

Hapo watakwambia Sheria za utumishi zinasema chini ya marks 50 umefeli Aya sawa turudi Tena kwenye Sheria za utumishi

Mbona zinasema mchakato inabidi uwe wa ukweli na uwazi Sasa kama ni hivyo mbona matokeo ya oral interview Huwa hamuyaweki wazi ?? Mbona issue ya database imekiwa kificho ??

Inshort ni ubabaishaji kwa kwenda mbele
 
Wanakwaza sana ila ndio hawajali hata! Hivi kweli tunasoma chuo ili iweje kama siku ya interview mtu anakula msuli tembo! Kwann tusimalize six twende kwenye hizi interview ata ukifeli huwezi kulalamika maana hujasoma! Sasa mtu ana miaka 10 mtaani akafanye mtihani na kitoto cha mwaka jana watakuwa sawa? Wanazingua.. hiyo data base ishakuwa story mtu haelewi kama kabaki au la..
 
Kmmk leo leo kazi ipo
Huyo msela aliyekuwa selected ndio kashalamba Asali mzee.
1770010027229.jpg
 
Ndo huwaga ilivyo, chance ya kupata ni kubwa japo maandalizi yanahitajika kama kawaida, aki relax tu inakua re advertised
Aisee hii nchi ngumu kumbe😧 kwahiyo anapiga msuli tembo kama kawa yeye V Utumishi.. uwii🙆🏽‍♀️
 
Naot naot naot!
Ni mwendo wa kutembeza fyekeo
Mwifwa
Mwifwa
Practical aisee zinaonekana tough sana, Kuna namba za viatu sana kwenye practical, utumishi kwenye practical ni balaa kabisa aisee, written nazo za online ni za moto vibaya mno hizi saili mtu inatakiwa ujiandae vilivyo kweli kweli, ukimuona mtu kwenye PDF la kuitwa kazini kapitia mambo mengi sana, ni haki yake kushangilia.
 
Back
Top Bottom