Cymon Taylor
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,762
- 3,446
Nimesikia mahakama wameita watu kaziniWale wa Atcl na tume ya utumishi wa mahakama vip Kuna taarifa yoyote?
Nimesikia mahakama wameita watu kaziniWale wa Atcl na tume ya utumishi wa mahakama vip Kuna taarifa yoyote?
Aisee!! Hapa moto unakata hata kabla ya usaili. Kwa kweli maisha ni safari ndefu sanaHii picha nimeitunza nitakuja kuwaonesha wajukuu 🤣🤣
View attachment 3463411
Kumbe sirudii kujitesa kwenda kwenye interview zao aise😁Chuo hiki kina utaratibu wa kuwachukua graduate flani. Wanajifanya wanajitolea then wanatoa nafasi za kazi.
Picha linaanza yule anayejitolea kwao ana 95 the rest sasa😂😂😂
Lakini Kuna muda wanapenya wengine hasa kwa programs ambazo ndiyo kwanza wanazinanzisha.
Nimeona, vi ATCL?Nimesikia mahakama wameita watu kazini
Nilivyoiona hii venue ,, imenikumbusha interview ya T.R.A ,, auditorium pale Dodoma ... Kwa kweli sitokuja kwenda tena Interview za T.R.A kama wataziendesha wenyewe labda zipitie utumishi ...nyingine hii hapa: utaskia wee mwenye shati lenye maua kule nyuma tumesema pens down we bado unaandika tutakupa matokeo yako hapahapa...🤣🤣🤣🤣View attachment 3463983
Hivi TAEC zinaendeshwa na Utumishi wenyewe?Nilivyoiona hii venue ,, imenikumbusha interview ya T.R.A ,, auditorium pale Dodoma ... Kwa kweli sitokuja kwenda tena Interview za T.R.A kama wataziendesha wenyewe labda zipitie utumishi ...
Ndio, maana tangazo walitoa wenyeweHivi TAEC zinaendeshwa na Utumishi wenyewe?
Anha kumbe mchongo upo hivyo.Ndio, maana tangazo walitoa wenyewe
Wakishaita waliowaita na wewe haupo katika walioitwa ndio imeisha hio nenda kajiajiriSio kweli mtaalam, nimeshuhudia kada zaidi ya moja wanatangaza nafasi kadhaa na wanaita watu zaidi ya nafasi walizo tangaza, kiufupi haya mambo hayana formula kivile.
Sent from my SM-G9280 using JamiiForums mobile app
Unachoma hela nyingi halafu unaishia Oral si bora usiende tuAnha kumbe mchongo upo hivyo.
Maaba wasela wenge wanavoluntia huko sasa hivi sasa unaweza choma laki zako kadhaa kwenda usaili kumbe unaenda kuja Cive auditorium tu.
Si bora hata hiyo oral mkuu,, kuna njemba ni written tu.Unachoma hela nyingi halafu unaishia Oral si bora usiende tu
Wanaoishia Oral ndio wanaumia sana kuliko wanaoishia written maana oral unachoma hela nauli yako kwenda kurudi chakula maradhi unakaa siku 2 au 3 una-risk mpaka uhai wako kwenda Dodoma unasafiri umbali mrefu kisha PDF linatoka jina halipoSi bora hata hiyo oral mkuu,, kuna njemba ni written tu.
Dah binadamu kiumbe cha ajabu kinakushortlist afu kinajua kabisa hupenyi.Wanaoishia Oral ndio wanaumia sana kuliko wanaoishia written maana oral unachoma hela nauli yako kwenda kurudi chakula maradhi unakaa siku 2 au 3 una-risk mpaka uhai wako kwenda Dodoma unasafiri umbali mrefu kisha PDF linatoka jina halipo
Bora ungejua usingeenda tuDah binadamu kiumbe cha ajabu kinakushortlist afu kinajua kabisa hupenyi.
Wiki mbili zijazo wanaita watu kwenye usaili.Anha kumbe mchongo upo hivyo.
Maaba wasela wenge wanavoluntia huko sasa hivi sasa unaweza choma laki zako kadhaa kwenda usaili kumbe unaenda kuja Cive auditorium tu.
Hao sijasikiaNimeona, vi ATCL?
TAEC?Wiki mbili zijazo wanaita watu kwenye usaili.
Tume ya atom ndioTAEC?
Duh! Ngoja nianze kupiga msuli sasa.Tume ya atom ndio
Kada gani mkuuDuh! Ngoja nianze kupiga msuli sasa.