HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hongera mzee,Mimi najiandaa na ya NAOT kwanza..,Then MDA and LGA na ya Hazina
zote kuitwa maajaliwa jiandae tu yeyote zinaweza tangulia hazina mkuu iyo ikawa ya mwisho uzur na faida ya kusoma ni kuwa vitu havitoki haraka haraka na multpurpose
 
siku nikikutana na huu ukijani nitaenda kuripoti ofisini na king'ora...
Screenshot_20250817-225027~2.jpg
 
Back
Top Bottom