HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
yeah maana shortlist uhakika mkuu nina vigezo vyote sema wasi wasi nawaza wanaweza ita mwezi wa 1 2026 ndio tabu
Usijiamini sana mkuu, utumishi ni watu wa ajabu sana, otherwise labda uwe na connection.

Mwezi Jan 2026 siyo mbali, be active tu kwa lolote litakalo tokea.
 
Mkuu kwa utumishi hiyo kawaida sana, kila siku humu tunasikia "wandewa" wanasema wana received zenye umri wa ujauzito wa miezi 9
 
Usijiamini sana mkuu, utumishi ni watu wa ajabu sana, otherwise labda uwe na connection.

Mwezi Jan 2026 siyo mbali, be active tu kwa lolote litakalo tokea.
namaanisha kuitwa usail kwenda kufanya post walizo tqngaza ni match mkuu sio kufaulu kufaulu anajua MUNGU
 
Back
Top Bottom