😆😆 kuna waziri mmoja alikuwa anaitwa shukuru kuwambwa akaja akaharibu elimu akaweka anavyojisikia yeye,alikua na kauli mbiu yake inaitwa BIG RESULTS NOW😆😆
Sijui alikuwa ana mchepuko wa sekondari kilaza akataka amuokoe asikose cheti😆
Yeye ndo alimaliza na kikwete awamu ya mwisho alipoingia magu alichukia sana kuina elimu inachezewa ikabidi ampe ubunge wa kuteuliwa ndalichako kisha ampe uwaziri ili asawazishe kwa kuwa ndalichacho ni mdau wa elimu amelitumikia baraza la mitihani kama katibu mtendaji na kufundisha vyuoni miaka mingi
Akaja aka rrjesha mifumo ya zamani