Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 35,223
- 101,204
Inagoma inaandika vipi tuanzie hapa, ili watu waweze kukusaidia shida yako ikiwezekana weka na screenshot kabisa
Sent from my SM-G9280 using JamiiForums mobile app
Inagoma inaandika vipi tuanzie hapa, ili watu waweze kukusaidia shida yako ikiwezekana weka na screenshot kabisa
Sent from my SM-G9280 using JamiiForums mobile app
Ndio inaandika hivi na requirements zote ninazo
Umeangalia kigezo cha umri?Ndio inaandika hivi na requirements zote ninazo
Yn inabadilika baada ya kufanya hiyo Oral au kabla?Vipi mkuu kwa case ya watu ambao hawakufanya practical/written, wameenda moja kwa moja oral kwa wale wa kada nafasi za watu wachache unakuta web na app mwanzo status zilisoma shortlisted ila baada ya muda web status inasoma shortlisted na app status inasoma selected for oral
umri babaNdio am just 30 na zilikuwa mbili moja nimeapply
Umenielewa? Kazi zipo mbili za course yngu moja nimeomba ya pili ndio imegoma and unaposema umri sio kwamba isizidi 30 kwani mi nimezidi?umri baba
ni baada ya kufanya oral.Yn inabadilika baada ya kufanya hiyo Oral au kabla?
Sina uhakika sana kwa anayeitwa kwa ajili ya oral tuu ila kwa huyo mtu kunakuwa hakuna utofauti wa hayo maneno mana yote yanakuwa na maana moja shortlisted for oral Na selected for oral.
Khs app mm nshamaliza, kaeni kwenye web mana ndo ipo updated.
Hiyo ingine illiopita sidhani kama watashortlist ukiwa 29 atleast unaweka mategemeoUmenielewa? Kazi zipo mbili za course yngu moja nimeomba ya pili ndio imegoma and unaposema umri sio kwamba isizidi 30 kwani mi nimezidi?
Kama una miaka 30 lazima ikukatalie kwa sabab Wana assume mpak mchakato wa ajira unakamikika unaanza kazi hautokuwa na hiyo 30 Tena mtu inaemkubaki ni 29, 28, 27.......Ndio am just 30 na zilikuwa mbili moja nimeapply
Heee jamani tutorial nayo mpk uwe below 30 basi watupe kazi mapema umri unazidi kusogea mweee😩Hiyo ingine illiopita sidhani kama watashortlist ukiwa 29 atleast unaweka mategemeo
Kwa wenye usaili mmoja naona hayo maneno yote yana maana mojani baada ya kufanya oral.
Kulingana na hayo maelezo hapo inaonekana umri umekutupa mkono, otherwise wasiliana nao kama umri haujakutupa mkono
Okay shukranKulingana na hayo maelezo hapo inaonekana umri umekutupa mkono, otherwise wasiliana nao kama umri haujakutupa mkono
Sent from my SM-G9280 using JamiiForums mobile app
Hongera sanaDah namshukuru sana Mungu na mimi leo nimelamba asali wizara x .. dah kweli leo na mimi Mungu ameniona jaman
Msikate tamaa Mungu yuko na atatenda.
Tuma tangazoHello wanajamii, kuna post walitoa TAWA sasa wanataka watu including waliosoma sociology ila nikiapply inagoma! Wao ndio wana kosa au mimi?
Ahsante mkuuHongera sana
kuna mdau alisema kupata placement ni mpk upate vidonda vya tumbo . Ukipata vidonda tu ujue placement inafata😀😀Kusubiri mikeka ni stress sana... Kuwaza majibu ya oral ni stress kubwa mno toka siku ya oral stree ni kubwa....nimeishamaliza kuuliza majibu yangu kwenye Chatgpt,capilot,Gemini na Ai seek ila bado presha juu
Mungu akatukumbuke tunaosubiria placements.