Jumah JR
JF-Expert Member
- Oct 25, 2023
- 379
- 702
Uvumilivu muhim mkuu zam Yako itafika tuu usiache kusali/kuswaliKusubiri mikeka ni stress sana... Kuwaza majibu ya oral ni stress kubwa mno toka siku ya oral stree ni kubwa....nimeishamaliza kuuliza majibu yangu kwenye Chatgpt,capilot,Gemini na Ai seek ila bado presha juu
Mungu akatukumbuke tunaosubiria placements.