HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
JIandae na maumivu😄😄😄

Mkuu natania usije ukotoa povu zito sana🔧🔧🔧 ziwe za kawaida
Kuwa na amani mkuu.
Sina kipingamizi yeye kwenda kufanya kazi kwa maana alisomeshwa na wzazi wake na ni haki yake kufanya kazi.
Mambo mengine yapo tu mkuu, kama ni kuchapiwa hata akiwa ana genge watapita naye tu.
 
Kama n muaminifu atajisimamia ila kam n tabia yake ata awe mam wa hme utachapiwa na bodaboda so muache akapige kaz mjenge uchumi wa familia 🫡
 
Ndio hivyo mkuu, watu tusikaril maisha ya watu kadhaa walio onyesha tabia mbovu, et nasis tuzuwie wake zetu kufanya kazi, hapana. Note, mtu mzima auwezi kumchunga💯
For real.
Nimeona kumepoa imebidi nilete shuhuda hiyo iliyotua malangoni kwangu.
 
Back
Top Bottom