HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ndio nilipiga izo sema jamaa wanavyo toa mikeka slow sana kila sku mmoja mara hamna kabsa 😀 ngoja tusubiri tutakuja na shuhuda🙏
Basi kumbe tulikuwa wote...kuwa mvumilivu mkuu nawe utaitwa mana jamaa alituambia Ile siku tumefaulu Sana
 
Ila tukiwa jobless huwa tunatoa ahadi nyingi sana kwa Sir God, kuna jamaa yangu siku moja baada ya kupiga usaili pale Mbeya mjini aliapa hatovuta bangi tena kama atabahatika kupata ajira serikalini na atakuwa mtumishi mwema kwa kufuata sheria na kanuni za utumishi. This life bwana, Dah! Guess what! huyo jamaa yupo hapa jukwaani, namchora tu
Mkuu na wewe hujaweka Ahadi 😅😅
 
Nimekuwa mwaminifu kupitia comments zote zaidi ya page 7 ila zote hizo sijaona shuhuda na nimeona PDF za kutosha mambo bado kwetu watafutaji

Ila tusikate tamaa muda utafika kutakuwa na shangwe tuzidishe maombi
 
Back
Top Bottom