daah zamu yangu ifike mechoka kusubiriHazinaga siku Malumu mpaka siku ya sikukuu wanatoa
Nasikia wameachia mkeka chungulia mkuudaah zamu yangu ifike mechoka kusubiri
Ndio nilipiga izo sema jamaa wanavyo toa mikeka slow sana kila sku mmoja mara hamna kabsa 😀 ngoja tusubiri tutakuja na shuhuda🙏Mkuu na wewe ulifanya zile RMA????..... Inshort hawaiti kwa panel baada ya watu kuisha wanachanganya majina yote Kisha wanapqnga kimarks kuanzia wa kwanza mpaka wa mwisho (Kuna jamaa wa PSRS alituambia hivyo)
sasa hivi?Nasikia wameachia mkeka chungulia mkuu
Yeeer sasaivhisasa hivi?
Pdf nyingi unakuta zina walimu wengi na watu wa afya wengi, lakini wanaoleta shuhuda humu ni wachache sana. Hii ina maana wadau wa huu wote hawalambi asali au wakishalamba asali hawataki tena kujichanganya na wapambanaji ?Kuna pdf la weekend huko , mlete feedback wakuu
Labda wanajiona wameshajipata na wapambanaji si levo yao tena😁Pdf nyingi unakuta zina walimu wengi na watu wa afya wengi, lakini wanaoleta shuhuda humu ni wachache sana. Hii ina maana wadau wa huu wote hawalambi asali au wakishalamba asali hawataki tena kujichanganya na wapambanaji ?
Cha ajabu hawaleti shuhuda huku. Tatizo nini kwa hawa ndugu zetu au ndio wameshahamia kwenye majukwaa ya kuulizia bei za viwanja na magari ?Walimu, Madereva, watu wa afya, Kilimo na mifugo, Maendeleo ya Jamii.
Toka 2023 hadi leo mnaupiga mwingi sana, pdf zimekuwa Mali yenu.
Waache mambo ya kishamba. Hawajui kama kuna michongo inahitaji kushirikiana na waliowaacha huku.Tangu mwezi April, walitoa pdf jumamosi moja pekee!
Labda wanajiona wameshajipata na wapambanaji si levo yao tena😁
Wanamwaga san science na IIIA WENGINE NI VILIOYeeer sasaivhi
Ila waalimu huu mwaka wao aisee...zinamwagwa kama njugu
Maisha yapo hivyo mkuu. Watu wanasahau walikotoka.Waache mambo ya kishamba. Hawajui kama kuna michongo inahitaji kushirikiana na waliowaacha huku.
Wanaogopa kupigwa mizinga na jobless. Tupo pamoja wakuu mpaka kila mmoja alambe asali.Maisha yapo hivyo mkuu. Watu wanasahau walikotoka.
Wanahamia kwenye jukwaa la ujenzi.Cha ajabu hawaleti shuhuda huku. Tatizo nini kwa hawa ndugu zetu au ndio wameshahamia kwenye majukwaa ya kuulizia bei za viwanja na magari ?
Niko serious.Ila tukiwa jobless huwa tunatoa ahadi nyingi sana kwa Sir God, kuna jamaa yangu siku moja baada ya kupiga usaili pale Mbeya mjini aliapa hatovuta bangi tena kama atabahatika kupata ajira serikalini na atakuwa mtumishi mwema kwa kufuata sheria na kanuni za utumishi. This life bwana, Dah! Guess what! huyo jamaa yupo hapa jukwaani, namchora tu
Na wale wa kutoa nusu ya mshahara wake wa kwanza fungu la kumi, kwa wahitaji au wazazi. Sir God anawaonaNiko serious.
Nikipata kazi naacha pombe na nitaenda kanisani
Ahadi kibao😅Na wale wa kutoa nusu ya mshahara wake wa kwanza fungu la kumi, kwa wahitaji au wazazi. Sir God anawaona