Check no inafananaje ?
eckWatumwage tuu ikija sasa tutakataa,tutajua mbele ya safari hukoo,muhimu iyo chekinamba kwanza 😂😂😢
eckWatumwage tuu ikija sasa tutakataa,tutajua mbele ya safari hukoo,muhimu iyo chekinamba kwanza 😂😂😢
Hahahahha yan nmerelax tu hapa nasubir barua yangu🙊ukajua umeshaenda osha.ngoma mpaka mwezi wa nane iyooo....
😂😂😂haina mfanano banaa inajitegemeaCheck no inafananaje ?
eck
Naomba sample😂😂😂haina mfanano banaa inajitegemea
Kumbe unakula asali ya kutosha huko,alafu unaniuliza check no.inafananaje? Mkuu uko sawa??Mliofanikiwa kupata Placement Hongera sana.
Tunawakaribisha katika Utumishi wa Umma, tunatarajia mtafanya kazi kwa weledi, huku mkitanguliza uzalendo. Watanzania wana matarajio makubwa katika utumishi wenu.
😂🙌 Maybe yupo private sector coz public sector ndio wanatumia check no. Through HRMIS yao ambayo n HCMISKumbe unakula asali ya kutosha huko,alafu unaniuliza check no.inafananaje? Mkuu uko sawa??
Usichukulie kila nacho post humu very serious, uhakika ni kwamba sina check no ndugu yangu.Kumbe unakula asali ya kutosha huko,alafu unaniuliza check no.inafananaje? Mkuu uko sawa??
Upo sahihi ndugu yangu.😂🙌 Maybe yupo private sector coz public sector ndio wanatumia check no. Through HRMIS yao ambayo n HCMIS
😂🙌 But soon unapata 🙏Usichukulie kila nacho post humu very serious, uhakika ni kwamba sina check no ndugu yangu.
Haya mambo kwa watu walio nje ya huo mfumo hakuna mwenye majibu sahihi. Kama unaweza mtafute mtu aliye kwenye PSRS anaweza kukupa ufafanuzi ulio sahihi zaidi kuliko hawa wapiga ramli wenzetu.Wakuu nipende kuuliza kwamfano mmefanya oral watu wa kada moja na panel zaikawa kama 40, Je ? Kwenye kuita watu kazini wanaita kwa kila panel labda kuchukua mtu mmoja au wanaweka mkeka wa marks za pamoja ndio wana select?
Amina kiongozi.😂🙌 But soon unapata 🙏
Sawaa mkuu coz sis tuliwahi fanya panel 40+ ila watu wa panel yangu amna alie itwa adi nowHaya mambo kwa watu walio nje ya huo mfumo hakuna mwenye majibu sahihi. Kama unaweza mtafute mtu aliye kwenye PSRS anaweza kukupa ufafanuzi ulio sahihi zaidi kuliko hawa wapiga ramli wenzetu.
Mlipeana contacts ?Sawaa mkuu coz sis tuliwahi fanya panel 40+ ila watu wa panel yangu amna alie itwa adi now
Mlipeana contacts ?
Sisi nakumbuka kuna jamaa alichukua namba zetu lakini hatujawahi kuwasiliana tangu tuachane siku ya usaili miezi kadhaa iliyopita, ila kuna mdau mmoja alikuwa anatutia moyo kwamba kwa panel yetu wote lazima tutalamba asali. So far namfahamu mmoja aliyelamba asali, wengine sifahamu maenddleo yao.
Mimi kwa kweli wale jamaa hata majina yao siyakumbuki. Nawakumbuka kwa sura tu, kuna wengine tena tulikutana kwenye usaili wa TRA.Tulipeana no but ndio kila tukiulizana na mikeka ikitoka amna mtu kati yetu na sisi pia wale panelists walisema nyie mtapita wote coz walikuwa humble kiasi chake
Cha msingi nikumuomba Mungu tu coz atujui yanayoendelea uko ili mwaka huu usiishe nasis tumelamba kibuyu cha asali🙏🙏Mimi kwa kweli wale jamaa hata majina yao siyakumbuki. Nawakumbuka kwa sura tu, kuna wengine tena tulikutana kwenye usaili wa TRA.
Amen nyingi.Cha msingi nikumuomba Mungu tu coz atujui yanayoendelea uko ili mwaka huu usiishe nasis tumelamba kibuyu cha asali🙏🙏
🙏🙏🙏 Tusubir pdf za leoAmen nyingi.
“Endapo kada moja imesailiwa na majopo zaidiWakuu nipende kuuliza kwamfano mmefanya oral watu wa kada moja na panel zaikawa kama 40, Je ? Kwenye kuita watu kazini wanaita kwa kila panel labda kuchukua mtu mmoja au wanaweka mkeka wa marks za pamoja ndio wana