HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hao walifanya usaili tarehe ngapi mkuu?
Tarehe sio issue kiongozi, placement nyingi za PSRS zinaanzia wiki tatu baada ya oral. Hapo kila mtu na bahati yake, wengine watapata placement baada ya wiki hizo tatu, wengine mwezi mmoja, miezi miwili na wengine mpaka mwaka au mwaka na zaidi. Uvumilivu ndio kila kitu, kama ipo ipo tu.
 
Nina siku 10 tangu nimalize Oral Interview. Unanishauri Nini 😅
 
Back
Top Bottom