Msela Lowkey
Senior Member
- Jul 3, 2021
- 144
- 199
IT atakuwa kwenye maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.Naona hamna dalili
IT atakuwa kwenye maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.Naona hamna dalili
Oral ulifanya lini?Mimi nishajikatia tamaa hapa. Naona naharibu akili yangu tu.
Kuwa na Imani mkuu bila kuchoka 💪💪Mimi nishajikatia tamaa hapa. Naona naharibu akili yangu tu.
Amini mkuu kuna siku isiyojulikana kila mtu atafurahi .Kuwa na Imani mkuu bila kuchoka 💪💪
Naam mkuu siku usiyoitarajia ndo siku unayoramba asali tusisahau mvumilivu hula mbivu.Amini mkuu kuna siku isiyojulikana kila mtu atafurahi .
Tuendelee kuwa wavumilivu tu
Tarehe 2 tu hapa, lakini nahisi kama mwaka.Oral ulifanya lini?
Mi tarehe 10 June ila naona siku haziendi kabisaTarehe 2 tu hapa, lakini nahisi kama mwaka.
Ngoja tumuachie mola aamue yeye.Kuwa na Imani mkuu bila kuchoka 💪💪
Acha kabisa mkuu. Oral yenyewe tunapenya kwa mbinde.Mi tarehe 10 June ila naona siku haziendi kabisa
Mi written nilifanya vizuri, hata Oral ilikuwa nyepesi sema as time goes pressure increase 😅Acha kabisa mkuu. Oral yenyewe tunapenya kwa mbinde.
Does pressure increase or decrease?😅Mimi mwenyewe nilijioanga sana wakati wa kwenda oral, ile kukutana na panel nikashangaa maswali yao ni ya kawaida sana na niliyajibu yote ndani ya dakika walizozipanga wao. Lakini baada ya usaili kupita, haikuchukua muda nikaona akili yangu imeanza kupata hofu. Jana na leo sijaingia psrs, nahisi nafuu kidogo.
Wanamalizia leo hyo wiki ya utumishiIT atakuwa kwenye maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.
Mwisho Tareh 23Wanamalizia leo hyo wiki ya utumishi
Unakata moto mapema ndugu yangu. Tuendelee kumtumainia Mungu atatuvusha ktk hiliTarehe 2 tu hapa, lakini nahisi kama mwaka.
Tareh 2 mbona Bado mapema sana? Kuna watu wana miezi miwili kasoro na hawajakata tamaaUnakata moto mapema ndugu yangu. Tuendelee kumtumainia Mungu atatuvusha ktk hili
Miezi miwili michache sana.kuna watu since last year mwezi wa 9 mtaalamTareh 2 mbona Bado mapema sana? Kuna watu wana miezi miwili kasoro na hawajakata tamaa
Dah!, yaani nikicheki miaka niliyokaa mtaani mpaka nachoka. Mwaka wa kumi huu mambo yapo kama hayapo. Anyway, ngoja tuendelee kusubiri.Unakata moto mapema ndugu yangu. Tuendelee kumtumainia Mungu atatuvusha ktk hili
watatoa Leo au kesho. Kuna watu Leo wameona placement tayari kwenye account zaoLeo IT kasema ni kusikiliza nyimbo ya Joel Lwanga~BILA BILA on REPEAT