HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu kila nilipokuwa nataka ku coment ktk huu uzi, moyo ulinambia acha mihemko yaan takriban 2 years now, nimekuwa nikisoma TU bila kureply,
ASEE LEO NAKOMENTI KWA WAPAMBANAJI WENZANGU,
Nimerraaaaaambaaaaaa asali na rasmi ntaendelea na Jukwaa la GEREJI 🙃
Kila la kheri wapambanaji wenzangu
 
Hongera Sana Mkuu ukawe mtumishi mwema 👏
 
Wakuu kila nilipokuwa nataka ku coment ktk huu uzi, moyo ulinambia acha mihemko yaan takriban 2 years now, nimekuwa nikisoma TU bila kureply,
ASEE LEO NAKOMENTI KWA WAPAMBANAJI WENZANGU,
Nimerraaaaaambaaaaaa asali na rasmi ntaendelea na Jukwaa la GEREJI 🙃
Kila la kheri wapambanaji wenzangu
Hongera sana mkuu, nakutakia heri kwenye majukumu mapya ya kuwahudumia watanzania wenzako. Mungu awe nawe
 
Wakuu kila nilipokuwa nataka ku coment ktk huu uzi, moyo ulinambia acha mihemko yaan takriban 2 years now, nimekuwa nikisoma TU bila kureply,
ASEE LEO NAKOMENTI KWA WAPAMBANAJI WENZANGU,
Nimerraaaaaambaaaaaa asali na rasmi ntaendelea na Jukwaa la GEREJI 🙃
Kila la kheri wapambanaji wenzangu
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema. Unahamia nyuzi za "Kwanini mshahara wa mwezi huu umechelewa"
 
Back
Top Bottom