AlexProsper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,416
- 6,290
Kutoboa sio rahisi?Boss bora huku kwetu .hao wana wanainterview ngumu balaa.
Kutoboa sio rahisi?Boss bora huku kwetu .hao wana wanainterview ngumu balaa.
Inamaana hapo watatangaza kazi tena?Ndugu wakandaji kuweni basi na huruma. Yaani practical watu 42 wote mnawala kichwa. Kuweni na moyo wa kibinadamu, prac zenu legezeni kamba. View attachment 3357581
hizi practical zimekuja kuleta msiba aisee..Ndugu wakandaji kuweni basi na huruma. Yaani practical watu 42 wote mnawala kichwa. Kuweni na moyo wa kibinadamu, prac zenu legezeni kamba. View attachment 3357581
Lumumba karibu na ofisi ya CCM mkoa wa DSM. Mbeya sehemu zote wanapouza nguo za vyamaKale naweza pata wapi?
Jaman ,, sasa hapo si unahudhuria moja ,,, mimi mwenye nimeomba moja tu ya admission officer hiyo quality assurance niliachana nayo maana nilikuja kugundua utumjshi ukkwa na interview mbili zilizofatana inakuwa shida sana kujiandaa hivyo nilichagua moja tuMimi wameweka taarifa nitafanyia hapa hapa mkoani nilipo....
Sema nahisi sitaenda nilijiandaa sana na admission officer quality assurance sijapitia kabisa.
Asante sana ngoja nikatafute tangazo lao huko kwenye page yao nione inakuwajeUsitegemee taarifa za kwenye account yako tu wakati mwingine mabadiliko ya venue huwa wanayaweka kwenye page yao utumishi uwe unapitia kotekote mkuu usije ukapoteza nafasi
Wametoa venue kwa quality assurance ambayo ni tarehe 8 ya admission officer badoAsante sana ngoja nikatafute tangazo lao huko kwenye page yao nione inakuwaje
Hahaha hatar nduguok. kwaiyo hapo ndio centre mpya ya kichapo sasa usije sema hukuambiwa🤣 🤣
Uli update taarifa za mahali unapoishi kwenye akaunti yako mkuu?******* hawa utumishi nipo kibaha hapa wamenipeleka morogoro mbali kote kule nauli 13k na dar 2000
Asante sana mkuu ,, maana nilianza kuchanganyikanaWametoa venue kwa quality assurance ambayo ni tarehe 8 ya admission officer bado
Kwamsaada Nactvet ni jumapili ya tareh 8Rahsully NACTIVET mnafanya lini
Ndio mkuu nikajua dar es salam karibu wao wameona morogoro karibu zaidi😂😂🤣Uli update taarifa za mahali unapoishi kwenye akaunti yako mkuu?
Mmh...uliweka mkoa wa pwani na wilaya kibaha?Ndio mkuu nikajua dar es salam karibu wao wameona morogoro karibu zaidi😂😂🤣
Unaambiwa "You have mentioned 2 points, 3 points remaining".Na amekukazia macho balaa
Yaani ni lazima kichwa kiwe kinachanganya fasta kama bmw, ukienda kama fiat aisee umekwisha.Unaambiwa "You have mentioned 2 points, 3 points remaining".
Au unachapwa na "Are you sure?".
Mtaalam yale mazingira hayaruhusu kufikiria kabisaa, pale ni kutililika tuu. Uwezo wa kufikiria na common sense vinarudi ukitoka mule ndani.Yaani ni lazima kichwa kiwe kinachanganya fasta kama bmw, ukienda kama fiat aisee umekwisha.
Kuna jamaa angu alienda kwenye oral ya utumishi alivyorudi akaniambia wale jamaa sio watu wazuri 🗣"yani wananiuliza maswali bila mpangilio sikumbuki maswali walioniuliza ila naweza kukupa mfano"Unaambiwa "You have mentioned 2 points, 3 points remaining".
Au unachapwa na "Are you sure?".
Mbaya zaidi ukishatoka majibu sahihi yanaanza kujitokezaMtaalam yale mazingira hayaruhusu kufikiria kabisaa, pale ni kutililika tuu. Uwezo wa kufikiria na common sense vinarudi ukitoka mule ndani.