Mmea Jr
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 988
- 2,303
Hii nililiona kwenye moja ya interview ya utumishi
Mfano
Kwenye nida mtua anaitwa
Muhidi Ahmed kibwana
Lakini kwenye vyeti vya kitaaluma
Wameandika
Muhid . A. Kibwana
Utumishi ,, waliwaambia watu kwamba kwenye written wataruhisiwa kuongia lakin kwenye oral interview itabidi waje na udhibitisho unaoonesha kuwa
Katika jina la
Muhid. A . kibwana
A ni Ahmed , nje na hapo vijana hao hawatoruhisiwa kuingia kwenye usahili wa mahojiano ..
Hivyo kama wewe ni miongoni mwa watu wenye ishu kama hii ni bora ukachukua hatua mapema kabla hayajakukuta