HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwenye kitambulisho kwa ajiri ya utambuzi cha mpiga kura kinakuwa JUMA F MICHAEL lkn kwenye vyeti na documents zote jina liko JUMA FRANCIS MICHAEL utumishi wanakugomea kufanya usahiri na kiapo cha Jina [affidavit ] utaratibu gan wa kukipata????
 
Simple way.......

Affidavit itapatikana kwa kwenda kuthibitisha kwa mwanasheria au mahakamani ukiwa na kitambulisho na vyeti vyako (cha kuzaliwa/vya taaluma).

Andaa elfu 5 au 10 ya muhuri.
 
Kwenye kitambulisho kwa ajiri ya utambuzi cha mpiga kura kinakuwa JUMA F MICHAEL lkn kwenye vyeti na documents zote jina liko JUMA FRANCIS MICHAEL utumishi wanakugomea kufanya usahiri na kiapo cha Jina [affidavit ] utaratibu gan wa kukipata????
Kama kitambulisho tu ndio kina shida kwa nini usichukue tu barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa kuliko kujichosha mkuu. Achana na hicho kitambulisho, nenda serikali yoyote ya mtaa wape 2000 wakupe barua ya utambulisho. Nenda na picha moja ya passport-size.
 
Hiyo barua ya utambulisho ukipewa mara moja unakuwa unaitumia several times au kila ukitak kwend kwenye usahili unaend na nyingne
 
Hiyo hiyo. Anayekuwa Addressed hapo ni katibu sekretarieti ya ajira, ile address uliyoandika kwenye barua ya kuomba kazi. Tena ifanyie lamination kabisa.
Binafsi sijalielelewa hilo Tangazo lao kuhusu Majina.
Mfano, Nida nina majina matatu ambayo ni KAPARO MZEE WAKUNI.
Kuzaliwa pia ni KAPARO MZEE WAKUNI.
Vyeti vya masomo ni KAPARO M WAKUNI.
Hapo nahitajika pia kubadilisha? Nielewesheni mlio waelewa.
 
Hapo hakuna tatizo mkuu. Vyeti vya academics huwa vinatumia initial jina la kati. Changamoto ni kama jina la cheti kimojawapo liwe KAPOLO badala ya KAPORO
 
Back
Top Bottom