Msela Lowkey
Senior Member
- Jul 3, 2021
- 144
- 199
ICTNafas Gani?
ICTNafas Gani?
Ha ha ha mkuu, unataka kuitumia?
AsanteHongera sana mkuu. Nenda karipoti kazini
Kwenye my applicationHongera sana mkuu, hii unaangaliaje kwenye ac?
Mkuu, kama hutojali, naomba uscreenshoot hy sehemu ya placement letter ikiwa Kwenye akaunti yako natamani kuona muonekano wake inavyokuwa.Naona placement letter tu kwenye ac yng pdf sijaliona
Hongera Sana Mkuu ukawe mtumishi mwema 💥Naona placement letter tu kwenye ac yng pdf sijaliona
Mkuu, kama hutojali, naomba uscreenshoot hy sehemu ya placement letter ikiwa Kwenye akaunti yako natamani kuona muonekano wake inavyokuwa.
Mishahara ya Halmashauri ina tofauti na ya wizarani ?Hongera Sana Mkuu ukawe mtumishi mwema 💥
Safi sana mkuu, hongera mno.View attachment 3349884inakuwa hivyo mkuu
Nadhani wote wanatumia TGS! Ila wajuvi watakuja kufafanua zaidi hapaMishahara ya Halmashauri ina tofauti na ya wizarani ?
Hakuna utofauti wote ni TGS (Kwa Kada nyingi eg. Hr, Account, lawyers etc) na TGHS (kada za afya).Utofauti wa mshahara Wizarani na halmashauri upoje na upande wa maslahi kwa anaejua?
Mkuu vipi kwa wale wanaopata nafasi kwenye mabaraza kama Bakita, baraza la mitihani, basata and the like wao mishahara yao ikoje ina range kuanzia ngapi!?Hakuna utofauti wote ni TGS (Kwa Kada nyingi eg. Hr, Account, lawyers etc) na TGHS (kada za afya).
Mfano MD wa Lga na Wizara anakula TGHS E 1,530,000.00
kumbe ndo kunakua hivi aisee umenipa hasira utumishi watanikoma jmos hakiyamamaView attachment 3349884inakuwa hivyo mkuu
Hiyo sio yangu mkuu nimeitoa mahali mi bado nasikilizia huruma ya PSRSSafi sana mkuu, hongera mno.
Safi, Nilitaka kuona inavyokuwa tuu 🙏Hiyo sio yangu mkuu nimeitoa mahali mi bado nasikilizia huruma ya PSRS
Mishahara nazani wote wanatumia TGS ila utofauti wao unakuja kweny marupu rupuUtofauti wa mshahara Wizarani na halmashauri upoje na upande wa maslahi kwa anaejua?
All the best kiongoz huu ni mwaka wa majobless kupata check no.💪kumbe ndo kunakua hivi aisee umenipa hasira utumishi watanikoma jmos hakiyamama
Huu mwaka kila mmoja atapate mkuu💪Safi, Nilitaka kuona inavyokuwa tuu 🙏
Yupi ana marupurupu mengi ?Mishahara nazani wote wanatumia TGS ila utofauti wao unakuja kweny marupu rupu