HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuwa mvumilivu tu mkuu na kila siku uwe unaangalia PDF linalotolewa maana hatua hii siyo kama written kwamba utaambiwa umefaulu au laa, hatua hii ni kupitia mara kwa mara kwenye account yako kuangalia kama tyr umekuwa placed maana ndiyo jibu kuwa ulifaulu usaili wako wa oral

Unaweza kusubiria kwa wiki, mwezi, miezi miwili nk kulingana na upatikanaji wa nafasi za kazi
 
mwambie tu ukweli kuwa ni baada ya mwaka.. 🤣 🤣
 
Tuzingatie hiki kitu
 
Attachments

  • IMG-20250530-WA0031.jpg
    IMG-20250530-WA0031.jpg
    621.2 KB · Views: 21
Back
Top Bottom