HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Umekuja vibaya sana kwenye huu uzi mkuu
I don't give a fuckk. Huo ndio ukweli. Nighah This country is rotten .. advertisement kwanza 2 positions , 7000+ people..I understand what am saying. Hio nafasi Ina vimemo. Naelewa vyema kwanini nazungumza hivyo. Kama wako hapa they should go to hell for all I care but the dooms day is very near.
 
Ndugu zangu maafisa biashara written vipi?

"Habari Mkuu, leo nimejichanganya sana, wakati natoka home kuja hapa Mkoani kwenye usaili nimejikuta nimebeba vyeti vyote copy badala ya vile orignal halafu usaili ni kesho asubuhi saa 1, sasa sijui nitawaelezaje wale wakaguzi wa utumishi ili niweze kuingia kupiga written yao, post ni Trade Officer II"

Samahani kwa wazoefu, eti kwenye hii scenerio mtu anaweza kuhurumiwa kweli ?
 
rudi kachukue vyeti og kwa uhakika zaidi muda bado upo kuna watu hawana huruma hata chembe.
 
"Habari Mkuu, leo nimejichanganya sana, wakati natoka home kuja hapa Mkoani kwenye usaili nimejikuta nimebeba vyeti vyote copy badala ya vile orignal halafu usaili ni kesho asubuhi saa 1, sasa sijui nitawaelezaje wale wakaguzi wa utumishi ili niweze kuingia kupiga written yao, post ni Trade Officer II"

Samahani kwa wazoefu, eti kwenye hii scenerio mtu anaweza kuhurumiwa kweli ?
Hapo kafate vyeti og , Kuna mtu alipigwa chini kwa Kuna na kitambulisho copy
 
"Habari Mkuu, leo nimejichanganya sana, wakati natoka home kuja hapa Mkoani kwenye usaili nimejikuta nimebeba vyeti vyote copy badala ya vile orignal halafu usaili ni kesho asubuhi saa 1, sasa sijui nitawaelezaje wale wakaguzi wa utumishi ili niweze kuingia kupiga written yao, post ni Trade Officer II"

Samahani kwa wazoefu, eti kwenye hii scenerio mtu anaweza kuhurumiwa kweli ?
Kuna msemo unasema , huruma , sio. Malezi.......hao wasahili hawahurumihi mtu aseeeeee
 
Back
Top Bottom