Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,679
- 5,166
marks ziatolewa hapo hapo.Waungwana hivi kwenye interview pale wanapouliza maswali huwa maksi ziachorwa palepale au na wao wanasubmit SEHEMU kwajili ya kutoa maksi
marks ziatolewa hapo hapo.Waungwana hivi kwenye interview pale wanapouliza maswali huwa maksi ziachorwa palepale au na wao wanasubmit SEHEMU kwajili ya kutoa maksi
Duuh msululu wa watu 7500 utafute watu wawili sure!Kama sio mmoja wawili
Ndio nakumbuka ni watu wawili tu waliweka kwny tangazoDuuh msululu wa watu 7500 utafute watu wawili sure!
hapo kuna watu si chini ya kumi watachukuliwa hiyo kada kupitia dataaseNdio nakumbuka ni watu wawili tu waliweka kwny tangazo
6 jumla admission wawili quality assurance 4Nimeuona huo mkeka aisee mpo wengi balaa sijui wanahitajika watu wangapi
Maana walikuwa wanaandika kila point unayotaja na wanaandika wote na sio alokuuliza swali tumarks ziatolewa hapo hapo.
Idadi inaweza kuwa imeongezeka ,, kumbuka tangazo ni la mwaka jana kwenye mwezi wa 7 au wa nane kama sijakosea sasa toka mwaka jana mpaka mwezi huu 5 kweli hamna nafasi nyingine zilizopatikana ??6 jumla admission wawili quality assurance 4
Palepale mnamalizana mzee.Waungwana hivi kwenye interview pale wanapouliza maswali huwa maksi ziachorwa palepale au na wao wanasubmit SEHEMU kwajili ya kutoa maksi
Hii nchi Ina vichekesho sana. 🚮 Nafasi Moja watu elfu 5.. haya.Kama sio mmoja wawili
tunateswaHii nchi Ina vichekesho sana. 🚮 Nafasi Moja watu elfu 5.. haya.
Marks zinawekwa pale pale kisha baadae wanafanya compilation kupanga wa kwanza mpaka wa mwisho.Waungwana hivi kwenye interview pale wanapouliza maswali huwa maksi ziachorwa palepale au na wao wanasubmit SEHEMU kwajili ya kutoa maksi
Umekuja vibaya sana kwenye huu uzi mkuuNaonaga hizi nafasi za cooperative ni za vimemo. 🚮