HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
yaani ukijisomea unapoteaza muda tu wanatoa vitu wanavyojua wao
Kada gani iyo
Pepa za utumishi ww kuwa tayar kwa lolote mkuu utakacho kutana nacho huko jamaa ni kawaida yao sana kwa mambo hayo ukiwa mzoefu wala huumizi kichwa sana mifumo ni ile ile kama vile kwenye soka uwanjani.😀 Ukitumia 'basic knowledge' yako kwenye pepa kama hizo ume maliza mchezo..🙏
 
Ndugu zanguni leo nimetoka kwenye usaili hapa Mbeya haya ndio nimejionea.

Kila kukicha hawa jamaa wanakuja na paper ngumu ngumu ambazo kila ukihesabu alama zako ndani ya chumba cha mtihani 50 hautoboi. Pia, kwa sasa kama umeitwa saili zaidi ya moja kwa siku moja na muda huohuo basi inabidi uchague mmoja tu. Pia mfumo wa OATS haufanyi kazi, tumerudi kwenye makaratasi.
 
Vipi format ya pepa bado ni multiple choice?
 
Ndugu zanguni leo nimetoka kwenye usaili hapa Mbeya haya ndio nimejionea.

Kila kukicha hawa jamaa wanakuja na paper ngumu ngumu ambazo kila ukihesabu alama zako ndani ya chumba cha mtihani 50 hautoboi. Pia, kwa sasa kama umeitwa saili zaidi ya moja kwa siku moja na muda huohuo basi inabidi uchague mmoja tu. Pia mfumo wa OATS haufanyi kazi, tumerudi kwenye makaratasi.
Wanadai OATS hawawezi kufanya maana kuna shida ya Venue vyuo vimefunguliwa.
Lakini pia Multiple Choice kweny karatasi zinakua ndefu na muda unakua kama hautoshi wale tuliofanya Customer Service juzi waliona.
 
Back
Top Bottom