HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tegemea siku hizi zilizobaki kabla ya tarehe ya interview utaona umewekewa kituo chako cha kufanyia usaili,
Huwa wanaacha gape kama hili ili kuwapq nafasi wale wanaotaka kubadilisha anuani zao za makazi wafanyie interview mahali walipo
Mpaka leo kituo sikijui naona mikoa km 7 sasa hawa jamaa wanafanya hivi mboni wanatuvuruga, kwa hio vituo wanaweka lini siku 1 kabla ya interview?
 
Labda tukusaidei hizi saili zinafanyika kikanda.angalia mkoa ulipo kanda gani then rejea vituo vilivyoorodheshwa kwenye Tangazo la kuitwa usaili
Taarifa rasmi ya kituo utatumiwa kwenye akaunti yako
Relax endelea na maandalizi muda mchache uliobaki
Unapangiwa kituo kwa kufuata address uliyoweka kwenye akaunt yako
 
Vituo vya usaili wameandika mikoa tu, Arusha, Dar, Dodoma, Mwanza, Shinyanga na Zanzibar hawajaonyesha location Venue itakua wapi kwa mkoa niliopo Address yangu nimeweka Dar ila mpaka sasa vituo vya usaili inasoma mikoa hio haionyeshi usaili utafanyika wapi kwa mkoa niliopo hapo ndio kwenye utata
 
Nahitaji kujua tu heka heka za hii program maana nimeshafanya applications nasubir mwez wa saba nianze mchaka mchaka
Ok
Kama ni kuhusu mchaka mchaka wa programme husika basi ngoja waliosoma

Ila nadhani. Mchaka mchaka ni ule kama programme zingine tu

U seriousness unahitajika ili ufanye vyema
Maana hii na Learner's centers unajisimamia mwalimu ana facilitate tu
Masomo ni online yaani mnawekewa notis na matirio mengine kwenye mfumo na assignments unafanya umo

Mitihani ni face to face kama vyuo vingine. Pia kwa kuwa ni Education kutakuwa na Teaching practice
Unaenda shule kufundisha somo ulilochagua

Vituo vya mitihni ni nchi nzima kilipo chuo cha open

Mtafundishwa kwa njia ya zoom n.k itategemea na uhitaji pia wakati mwingine kuna face to face
 
Vituo vya usaili wameandika mikoa tu, Arusha, Dar, Dodoma, Mwanza, Shinyanga na Zanzibar hawajaonyesha location Venue itakua wapi kwa mkoa niliopo Address yangu nimeweka Dar ila mpaka sasa vituo vya usaili inasoma mikoa hio haionyeshi usaili utafanyika wapi kwa mkoa niliopo hapo ndio kwenye utata
Soma tangazo lao. Tayari tumeshapangiwa vituo:
 
Ok
Kama ni kuhusu mchaka mchaka wa programme husika basi ngoja waliosoma

Ila nadhani. Mchaka mchaka ni ule kama programme zingine tu

U seriousness unahitajika ili ufanye vyema
Maana hii na Learner's centers unajisimamia mwalimu ana facilitate tu
Masomo ni online yaani mnawekewa notis na matirio mengine kwenye mfumo na assignments unafanya umo

Mitihani ni face to face kama vyuo vingine. Pia kwa kuwa ni Education kutakuwa na Teaching practice
Unaenda shule kufundisha somo ulilochagua

Vituo vya mitihni ni nchi nzima kilipo chuo cha open

Mtafundishwa kwa njia ya zoom n.k itategemea na uhitaji pia wakati mwingine kuna face to face
Umetisha sana mkuu
 
Still feeling ya safari ya kwenda Dodoma kuchukua barua ina feeling yake bwana hasa kama umelamba mjitaasisi mzito kama TPDC au WCF
EWURA, TASAC, LATRA, NHIF hapo lazima uwe na feeling njia nzima mpaka unaingia Idodomya. Ila yote kwa yote kwa maamuzi haya ya Utumishi itapunguza gharama Kwa wasakatonge mana nenda Rudi ya Dodoma ni pesa mingi sana.
 
Anyway, wakuu naomba kuuliza.

Kuna demu nilimsaidia kufanya application zile za waalimu mana yeye yupo kijijini hvy hana access ya kupata intanet muda wote.

Sasa yeye hakuweza kufaulu kwenda oral, yani alifeli kwenye written, ila amekuwa akinisumbua kuwa watu wanapangwa kazini hata kama walifeli written. Mm nimekuwa nikimwambia hilo haliwezekani ila analazimisha mara aniambie ameota amepangiwa eneo la kazi 😂 yani vurugu tuu

Je hili ni la kweli?
Mwambie ameshapangiwa kituo akaripoti tu.
 
kwenye pdf za vituo vya kazi mbona wameandika muda wa interview saa 5;00 asubui alafu portal wameandika saa 11;00 asubui imekaaje hii
 
Wazoefu, zaidi ya knowledge aliyonayo juu ya kile anachoulizwa, mtahiniwa huwa anapimwa vitu gani vingine kwenye usahili wa mahojiano?.
 
Back
Top Bottom