kitanywe 1
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 220
- 444
Ushapata group la customer service uni connect?? Naki 12customer service officer II
Ushapata group la customer service uni connect?? Naki 12customer service officer II
Asante mkuuMaandalizi mema wapambanaji
Asante sanaMaandalizi mema wapambanaji
Kubadilishiwa kada.Wakuu mwenye uelewa kuhusu recategorization naomba anijuze
Vipi mtendaji wa Kiki anaweza kubadilishiwa kama na kuwa mhasibuKubadilishiwa kada.
Unaandika barua kwa mwajiri wako Kama nafasi ipo na vigezo unavyo anakubadilishia. Mfano kutoka dereva kuwa muhasibu e.t.c
Kada yeyote unabadilishiwa provided una fani husika unakotaka kwenda.Vipi mtendaji wa Kiki anaweza kubadilishiwa kama na kuwa mhasibu
Nimeambiwa kwa watendaji Wana utaratibu tofautiKada yeyote unabadilishiwa provided una fani husika unakotaka kwenda.
Je umesoma Accountancy au finance au BCom Acct?
Nimeambiwa kwa watendaji Wana utaratibu tofauti
Sio kweli, mimi kuna jamaa angu alikuwa mtendaji wa kijiji sasa ni HR Halmashauri XNimeambiwa kwa watendaji Wana utaratibu tofauti
Alifanikiwa kubadilisha maana ya miaka mingapi?Sio kweli, mimi kuna jamaa angu alikuwa mtendaji wa kijiji sasa ni HR Halmashauri X
Mkuu mtu akiingia kwa kada nyingne mfano ualimu diploma huku akiwa na bachelor ya HR anaweza kubadilisha baadae akawa HRUmeambiwa na nani?
Hizo ni MBINU tu kuwaretain msikimbie. Mtendaji ni MTUMISHI Kama walivyo wengine na SHERIA ni zile zile
Anaweza akawa HR/Afisa Utumishi ila Sasa utaanza na mshahara wa Afisa Utumishi, mfano kama kwenye Ualimu ulishafikia TGS E, itatakiwa uanze TGS D, Kwa kuwa umehamia kwenye kada nyingine.Mkuu mtu akiingia kwa kada nyingne mfano ualimu diploma huku akiwa na bachelor ya HR anaweza kubadilisha baadae akawa HR
Kwan mpk ubadilishe kada unafanya kaz miaka mingap au muda wowote unaweza kubadilisha kadaAnaweza akawa HR/Afisa Utumishi ila Sasa utaanza na mshahara wa Afisa Utumishi, mfano kama kwenye Ualimu ulishafikia TGS E, itatakiwa uanze TGS D, Kwa kuwa umehamia kwenye kada nyingine.
Ukishathibitishwa kazini kila kitu kinawezekana.Kwan mpk ubadilishe kada unafanya kaz miaka mingap au muda wowote unaweza kubadilisha kada
Mmeitwa?Ambae yupo kwenye group la whatsap la Cooperative officer naomba link