Kayoka
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 2,406
- 2,248
Hii post nilishawahi kuifanyia usaili mara mbili miaka ile ya 2015's pale DUCE, lakini sasa hivi kichwa kimesahau kila kitu.Mmeitwa?
Hii post nilishawahi kuifanyia usaili mara mbili miaka ile ya 2015's pale DUCE, lakini sasa hivi kichwa kimesahau kila kitu.Mmeitwa?
Ukishathibitishwa tu kazini Muda wowote tu unaruhusiwa kufanya recategorization.Kwan mpk ubadilishe kada unafanya kaz miaka mingap au muda wowote unaweza kubadilisha kada
Halmashauri watu wana roho mbaya sana wanataka ubaki kijijini.Nimeambiwa kwa watendaji Wana utaratibu tofauti
Bado nataka jujiandaa tu na interviewMmeitwa?
Mmeitwa?
Apa wameupiga Mwingi aisee Hongera kwaoNaona psrs Wamefanya update sasa hivi barua ya kazi unaipata kupitia account yako .. kwenye my application
Gharama za kwenda migiro hamna tenaView attachment 3307806
Safi sanaNaona psrs Wamefanya update sasa hivi barua ya kazi unaipata kupitia account yako .. kwenye my application
Gharama za kwenda migiro hamna tenaView attachment 3307806
Ni jambo la kuwapongeza kwa hatua hiyo. Hata umuhimu wa watu kuchungulia kwenye PDF utapungua maana kama umeitwa kazini unapata taarifa kwenye akaunti yako tu.Naona psrs Wamefanya update sasa hivi barua ya kazi unaipata kupitia account yako .. kwenye my application
Gharama za kwenda migiro hamna tenaView attachment 3307806
Hahah nadhani ni makosa tu ya kiuandishi.Ni jambo la kuwapongeza kwa hatua hiyo. Hata umuhimu wa watu kuchungulia kwenye PDF utapungua maana kama umeitwa kazini unapata taarifa kwenye akaunti yako tu.
Ila hapo kwenye hiyo tarehe ama mwandishi ameteleza au ndio uhalisia yaani mwaka 2023 uitwe kazini 2025. Wataajiri wastaafu
Tegemea siku hizi zilizobaki kabla ya tarehe ya interview utaona umewekewa kituo chako cha kufanyia usaili,Habari, kwenye usaili wa TAA nimeona wametaja vituo tu kama dodoma, dar es salaam, mwanza n.k lakini hawajataja kuwa itakuwa sehemu gani katika hiyo mikoa, mwenye uelewa naomba anieleweshe ili jambo
Shukrani sana kakaTegemea siku hizi zilizobaki kabla ya tarehe ya interview utaona umewekewa kituo chako cha kufanyia usaili,
Huwa wanaacha gape kama hili ili kuwapq nafasi wale wanaotaka kubadilisha anuani zao za makazi wafanyie interview mahali walipo
Ulitaka nini asa usaidiwe?Wakuu siwezi pata mtu aliesomea post graduate diploma in education(PGDE) chuo huria (open university)?
Nahitaji kujua tu heka heka za hii program maana nimeshafanya applications nasubir mwez wa saba nianze mchaka mchakaUlitaka nini asa usaidiwe?
Karibu. Tukusaidie
Wueeeh😂😂ni madame hapaShukrani sana kaka
Ndio tumeiona mambo kidigitali,nzuri hyooMmeshapata kuiona hii?
Kabisa inapunguza gharama za kupanda Shabiby na kimbinyiko kwenda kufuata barua masijala ya wazi Idodomya.Ndio tumeiona mambo kidigitali,nzuri hyoo