Amo1
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 1,748
- 2,873
Duh ilikuwa safari ndefu..Hatimaye usahili wa walimu unaisha leoooo
Duh ilikuwa safari ndefu..Hatimaye usahili wa walimu unaisha leoooo
Ndio mkuuu atulie tu yeye kama anaendelea kulima aendelee tu UTUMISHI WANA UZI SANA UNAWEZA PANIC AL
Soon tunaanza shuhudia ma PDF ya walimu sasa kada zengine tutachomolewa mmoja mmojaHatimaye usahili wa walimu unaisha leoooo
AmenHatimaye usahili wa walimu unaisha leoooo
Yan mapichapicha walah,tupo gizanmie mwenyewe niliona tangazo la utumishi hilo la kwao sikuliona. sasa hapo ndo nashindwa kuelewa inamaana na utumishi watarudia tena usahili au ndio imetoka
😂😂😂wanataka wanimalizie hasira zao za utumishi wueeehraia hawataki kukuelewa kabisa yan 🤣 🤣
sasa hivi kila mtu kachanganyikiwa aisee. 🤣 🤣 🤣😂😂😂wanataka wanimalizie hasira zao za utumishi wueeeh
Wapi huko mkuu?sehemu ya interview ishajaa uko
Ila Leonce jr umenichekesha sana 🤣Dogo huwez kuona aisee wewe tulia kama ulifanya vizur oral subili hata mwaka huwez kuona matokeo ya oral
kwenye webWapi huko mkuu?
Nimeona ya TAWA Muda huukwenye web
inamaana hapo moja lazima iwe readvertised au atachukuliwa wa databaseKuna watu wana bahati..mtu anaitwa post 2 na zote yupo peke yake yaani hii kupata kazi ni kama kumsukuma mlevi
yaah naona mambo yashaiva.mkae mkao wa kulaNimeona ya TAWA Muda huu
Mimi sidhani kama yangu itakuja mapemayaah naona mambo yashaiva.mkae mkao wa kula
amna huwezi jua hawaelewekagi hawaMimi sidhani kama yangu itakuja mapema
Labda mwezi wa 6 huko maana ni ya mwezi wa kwanzaa
Ngoja tuone mkuu ... Lengo la kwanza ni kuingia kwenye data base 😂amna huwezi jua hawaelewekagi hawa