Rahsully
JF-Expert Member
- Aug 2, 2023
- 234
- 390
Hivi kesho si ndo oral,hayo matokeo wameyatoa ya written wap jmn nmchungulie jirani yangu hapa mana anahaha😂😂Oyaaa wee wale wa TAA vipi huko mrejesho tupen aloo
Hivi kesho si ndo oral,hayo matokeo wameyatoa ya written wap jmn nmchungulie jirani yangu hapa mana anahaha😂😂Oyaaa wee wale wa TAA vipi huko mrejesho tupen aloo
we hukuwepo rahsullyHivi kesho si ndo oral,hayo matokeo wameyatoa ya written wap jmn nmchungulie jirani yangu hapa mana anahaha😂😂
Jirani yako ndio wewe😀😃😀😃😀Hivi kesho si ndo oral,hayo matokeo wameyatoa ya written wap jmn nmchungulie jirani yangu hapa mana anahaha😂😂
Kwa hiyo jirani yako amekupa number yake umchekie?Hivi kesho si ndo oral,hayo matokeo wameyatoa ya written wap jmn nmchungulie jirani yangu hapa mana anahaha😂😂
Ndiooo yapoo mkuuu tayari kwa website yao ila cutting point sasa alooHivi kesho si ndo oral,hayo matokeo wameyatoa ya written wap jmn nmchungulie jirani yangu hapa mana anahaha😂😂
Anaacha kusema ukweli kijana anasingiziaKwa hiyo jirani yako amekupa number yake umchekie?
Ndiooo yapoo mkuuu tayari kwa website yao ila cutting point sasa aloo
Apo nyota 🔯 🔯 🌟 🌟 na upepo mkali unafanya kazi ,Aloo sio poa.View attachment 3245983hao wenye 68 waefungana lakini kachukuliwa mmoja
sio mchezoApo nyota 🔯 🔯 🌟 🌟 na upepo mkali unafanya kazi ,Aloo sio poa.
Kwaiy AP mkuu kwenye data base kama maswali matano alaf ukakosa mawili unaweza kuwepo databaseMaswali yalikuwa matano 5 ila kati ya ayo mawili xina uwakika Nay kabix Kam nimepat
Iv Mkuu kama upo database unajuaje maan nilipig interview oral mpak sasaiv bad Kweny account kuna selected for oral interview xielew AP nip database ausio mchezo
huwezi kujua hyo ni siri yao.apo cha msingi uwe unafatilia pdf za matokeo tuIv Mkuu kama upo database unajuaje maan nilipig interview oral mpak sasaiv bad Kweny account kuna selected for oral interview xielew AP nip database au
Toka mwaka jana mwezi wa10huwezi kujua hyo ni siri yao.apo cha msingi uwe unafatilia pdf za matokeo tu
Kwenye kada ya mtendaji/mtaa/kijijihuwezi kujua hyo ni siri yao.apo cha msingi uwe unafatilia pdf za matokeo tu
Kwenye kada ya mtendaji/mtaa/kijiji
Afisa mtendaji wa mtaaUkifanya interview ya social work au Afisa maendeleo?
Kada ya Afisa mtendaji wa mtaa
Pale manispaa ya temeke
Mkuu ila baada ya interview za TRA usijelalamika kuwa hawakuwa fair[emoji3][emoji3]Uko sahihi mimi TRA wanajua na wako seriously ndio maana wanapiga wenyewe