Amo1
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 1,748
- 2,873
Watazoea tu mfumoNa kuna wale waliopata 8.
Watazoea tu mfumoNa kuna wale waliopata 8.
yaani pepa za utumish ukihisi umetoboa ndio unakuta not selected sjui kwaninWatazoea tu mfumo
Hizi kuna siku moja zilitaka kunipa sonona , nafungua account nakutana na Not selected kubwa.. dah ogopa hyo moment .. kuna jamaa nilikuwa naongea nae akawa ananiongelesha nikawa nahisi ananipigia kelele..yaani pepa za utumish ukihisi umetoboa ndio unakuta not selected sjui kwanin
Wee matokeo yao yako wap mkuu mbona hatarWalimu kwa sasa tunaongea nao lugha moja
Bado bila bila . Labda weekend wanaweza shortlistWakuu vip uko hawajaita watu kwenda interview maana waalimu na benk ni week ijayo zinaisha
Miez hata 12 inafika mkuuHivi watu wakishafanya usaili wa oral inachukua mda gani kuitwa kazini?
Awa maku wana bore kinouma yaani sijui shida ni nini?Bado bila bila . Labda weekend wanaweza shortlist
Kwakweli hilo halina ubishi mkuu..😀Miez hata 12 inafika mkuu
Wale jamaa hawajui kuwa umri watu unakataKwakweli hilo halina ubishi mkuu..😀
Nop,ipo sehem mwishoni kabisa kwenye ku apply utaona sehemu ya ku attach CV and cover letterWale wa TRA.
Barua/cover letter unaiweka pamoja na CV? yaani unaiunganisha na CV?
Hii portal yao nayo ni hovyo tu
Afsa,vipi unataka kukimbia hapo kwa CAG?Wale wa TRA.
Barua/cover letter unaiweka pamoja na CV? yaani unaiunganisha na CV?
Hii portal yao nayo ni hovyo tu
Nasaidia mtu hapa kutafuta ugali.Afsa,vipi unataka kukimbia hapo kwa CAG?
Ahsante mkuu kwa muongozoNop,ipo sehem mwishoni kabisa kwenye ku apply utaona sehemu ya ku attach CV and cover letter
Mwisho kabisa pale Kuna sehemu ya kuweka CV na cover letter separateWale wa TRA.
Barua/cover letter unaiweka pamoja na CV? yaani unaiunganisha na CV?
Hii portal yao nayo ni hovyo tu
imetenganishwa mkuu ,kuna sehemu ya CV na BARUAWale wa TRA.
Barua/cover letter unaiweka pamoja na CV? yaani unaiunganisha na CV?
Hii portal yao nayo ni hovyo tu
Wale jamaa hawajui kuwa umri watu una
Vp upande wa Tin namba mkuu imekubali kukaa kwako..? , maana kila tukiweka baada ya muda ina ondoka mpaka sasa.imetenganishwa mkuu ,kuna sehemu ya CV na BARUA
Nimeona, Ahsanteni kwa muongozoimetenganishwa mkuu ,kuna sehemu ya CV na BARUA