HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Daaah safari hii walimu na watu wa afya wasipopata kazi huu mwaka watalaamu balaa

kwenye kila pdf la placement za kazi kwa walimu lazima ukutane na wataalamu wa afya walioitwa kazini.
Walimu na afya kweli ni kipaumbele
 
Huu uzi nakumbuka 2021 hivi kwanza mwifa yupo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].


Utumishi walichonifanya gaddem shit


At last Jeshi likaniokoa


Kila mtu ana wakati wake
Sema mwanangu ulienda Kiwira kimya kimya.😀.

Kushtukia tukakuona mitandaoni unaapa.
 
sio za utumishi kivipi tena rahsully hizi si ni zile zilizotoka mwaka jana mwez wa nane mwaka jana.kwan walishawahi kutoa post nyingine ya electrical engineer tofauti na zile..??
Walitoa lakin haikupitia utumishi,maombi yalitumwa kwa njia ya email,,
 
Back
Top Bottom