Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 3,193
- 5,241
Mkuu nimegundua humu umu upo kitambo sana utakuwa na mzoefu mkubwa kwenye haya mambo hivyo mwaka huu unaweza kuwa wako kama hujalamba mchuzi mkuuHaya mambo ya Utumishi kwa kweli ni Neema ya Mungu.....Ndomaana kwenye Oral wameweka siri yao marks zako hawataki kuweka wazi kunakitu wanachojua wao...
Na baada ya wasakaji kuwa watafiti kujua kupitia Application yao wameona shida wakaifungia(undermaintanance)
Upepo ukikubali mnalamba asali wote mlioingia oral mpaka bado wanauhitaji mwingine......