El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,074
- 6,477
shida ni kwamba hujui wanatoa wapi ingekua wanatoa kama pepa za UE ingekua poaLkn ajabu wengi tunaenda ku test mitambo tu. Hatujiandai utakacho kikuta icho icho sasa ukasoma vizur unashangaa unapasua kilain