HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mpaka sasa nina received sita.

Mwaka 2024 umekuwa mwaka wa kuongeza received(Namshukuru Mungu kwa hilo),

Maana tokea mwaka 2023 mpaka 2024 mwezi wa saba sikuwahi kuwa na received hata moja.

Tunapoelekea mwaka 2025 tumuombe Mungu atujalie tulambe asali maana daili zote zinaonekana.

Mungu atusaidie na sisi mwakani tulambe asali.

Naamini mwakani ni wakati wetu wapambanaji kuonekana kwenye pdf.

Amen
Hongera sana Mkuu pia jitaidi kujiandaa vyema kuanzia kusoma na kiuchumi maana apo itahitajika nauli na za apa na pale ivyo jiandae Mkuu
 
Hakika
 
wakuu naomba kuuliza kwa wale wanaofuata barua utumishi na huna kitambulisho ila una namba ya NIDA jee kuna ugumu wowote unatokea na kama upo solution yake ni ipi maana kwenye interview unaweza enda na barua ya utambulisho basi unakuwa ume solve hilo
 
Kama hauna kitambulisho basi beba cheti chako cha form 4 mpaka 6
 
wakuu naomba kuuliza kwa wale wanaofuata barua utumishi na huna kitambulisho ila una namba ya NIDA jee kuna ugumu wowote unatokea na kama upo solution yake ni ipi maana kwenye interview unaweza enda na barua ya utambulisho basi unakuwa ume solve hilo
Nenda na barua ya utambulishi ya serikali ya mtaa, na beba vyeti vyako vyote vya shule original na usisahau cha kuzaliwa
 
wakuu naomba kuuliza kwa wale wanaofuata barua utumishi na huna kitambulisho ila una namba ya NIDA jee kuna ugumu wowote unatokea na kama upo solution yake ni ipi maana kwenye interview unaweza enda na barua ya utambulisho basi unakuwa ume solve hilo
Nenda na barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa au kitambulisho cha kura kama nacho.
 
Hongera sana Mkuu pia jitaidi kujiandaa vyema kuanzia kusoma na kiuchumi maana apo itahitajika nauli na za apa na pale ivyo jiandae Mkuu
Ni kweli kaka lazima niandae silaha wakati amani
 
Bro Mungu akubariki sana una roho ya kipekee sana

Trust me humu ndani umewatia moyo watu wengi sana sana nikiwa mmoja wao

sijapata kazi ila naamini ipo siku yangu nami nitaingia kulamba buyu la asali
Usikate tamaa hadi kieleweke.

Mafanikio ni process, hivyo inahitajika uvumilivu na kupambana kwa kwenda mbele
 
Wakuu,
Msaada. Ikiwa course uliyosoma kwenye mfumo wa ajira portal haipo hyo course inabidi anafanyeje?
Wasiliana na PSRS waeleze wanaweza kuiweka hiyo course.

Course nyingi hazikuwepo kwenye mfumo, ila baada ya kushtuliwa wakaziweka
 
wakuu naomba kuuliza kwa wale wanaofuata barua utumishi na huna kitambulisho ila una namba ya NIDA jee kuna ugumu wowote unatokea na kama upo solution yake ni ipi maana kwenye interview unaweza enda na barua ya utambulisho basi unakuwa ume solve hilo
Tumia barua hiyohiyo ya utambulisho na usisahau kablasha lako la vyeti ili wakitaka hata cheti cha kuzaliwa unakuwa nacho.

NB: Jobless tumieni hii fulsa ya kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpigakura mpate vitambulisho msije hangaika huko mbeleni.
 
*wakuu nimepoteza lesseni ya gari na pass ya kusafiria na documents nyingine muhimu. Wamenitaka nikatangaze kwenye gazeti la serikali. Naomba kuuliza hapo zilipo ofisi za gazet la serikali
Sio lazima uende mkuu. Hata kwenye gazeti la mwananchi we katangaze. Nunua gazeti lao, tafuta mawasiliano yao huwa wanaweka page ya kwanza nadhani.
 
Back
Top Bottom