HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
hawa utumishi uhuru umezidi sasa yaani wanachukulia majobless kama bibi zao interview gani hizo watu wanasubili miezi mitano au wanatafuta watu wakwenda mars
 
Ninawasisi A/c wananyomi ya watu databse....
Na imeonyesha kwenye LGA&MDA A/C hawajaita diploma na degree kuna dalili ya mkeka database..
Budget yao ya mwaka jana inahitaji Account&Procurement wengi...
Mmmh mbona hzo pdf znazotoka account na procurement ni wachache sana
 
kuna post walitoa toka mwez wa nane unakuta inahitaj mtu mmoja badala ya kuchukua tu mtu kutoka database walivyo ******* wanasubilisha watu miezi 6.mwishowe kina pinacoladee watahamia kwenye nyumba zao.
Sema nimecheka sana.😀😂.
 
Back
Top Bottom