Hivi wanapochukua kutoka Database, wanamaanisha ni mtu lazima awe amefanya hata interview yoyote ndani ya huo mwaka au ukituma document ikawa received tu unakuwa kwenye Database. Hebu nisaidie kuelewa Mkuu.Hakikisheni mnaongeza received kama mna sifa kwa kila nafasi inayotangazwa
Mkuu Hapa ni mpaka uwe umefika oral interviewHivi wanapochukua kutoka Database, wanamaanisha ni mtu lazima awe amefanya hata interview yoyote ndani ya huo mwaka au ukituma document ikawa received tu unakuwa kwenye Database. Hebu nisaidie kuelewa Mkuu.
Mkuu hata hujakandwa uwe data base?Hivi wanapochukua kutoka Database, wanamaanisha ni mtu lazima awe amefanya hata interview yoyote ndani ya huo mwaka au ukituma document ikawa received tu unakuwa kwenye Database. Hebu nisaidie kuelewa Mkuu.
Shukran mkuuMkuu Hapa ni mpaka uwe umefika oral interview
Hongera mkuuMERRY CHRISTMAS WAKUU
Njoo pm mdogo anguTupeane connection ndugu zangu okoeni uhai huku
Sawa brotherNjoo pm mdogo angu
Nimekucheki mkuuNjoo pm mdogo angu
Unaeza niambia pale #aicc wanalipaje kaa ngazi ya diploma afyahii radiology si watu wa afya walifanyia interview sasa kulikua na haja gani ya kutangaza si wangechukua tu mtu wa muweke na pdf la jana.istoshe si majuzi tu hapa watu wa afya waliitwa AICC
Waachie Pdf ya Database Watutoe mtaa kama wao walivyopeana Offer za watoto wao kupitia ajira za mkataba kwenda ajira za Kudumu....Tuonane Mwakani View attachment 3182879