El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,048
- 6,413
utaitwa database iyoPost ilihitaji mtu mmoja na Oral tulikuwa kama 20 hv
utaitwa database iyoPost ilihitaji mtu mmoja na Oral tulikuwa kama 20 hv
Assume wewe mpenzi wako hana kazi unaweza Fanya iyo accountabilitySasa utumishi wao watajuaje kuwa miongonii mwa wasailiwa Kuna mtu ana mpenzii wake humo,,,,kimaadilii ilitakiwa msailii ajitoe kwenye panel wakati mpenzii wake akifanyiwa usailii
Binafsii siwezii so ni bahatii yake na huwezii kuwalaumu psrs maake unakutaa wao hawajuii na hawawezii kujuaAssume wewe mpenzi wako hana kazi unaweza Fanya iyo accountability
Huo ni mkakati mkuu, lazima upange timu kujihakikishia ushindi unarudi nyumbani tena na cleansheet kabisaBasi sawa.
Kuna mtu wiki hii amemfanyia panel interview mpenzi wake.
Mmmh inawezekanaje kitu kama icho maana lazima ukaguliwe vyeti pia jinsia ni tofauti labda kama alivaa juba la Mpenzi wake lakini vipi kwenye upande wa sauti ah ah 🤣🤣🤣🤣 ukiambiwa changanya na za kwakoBasi sawa.
Kuna mtu wiki hii amemfanyia panel interview mpenzi wake.
Lipo wapi?Naona TRC tayari wamefanya yao uko bonge la PDF
Nenda ajira portal News then kwenye replacementLipo wapi?
Alafu ni placements sio replacement!! Wasomi wetu kwanini huwa mnachanganya hii kila siku humu!!Nenda ajira portal News then kwenye replacement
Naona humu kwenye jukwaa hamna hata member mmoja au wakishuhudia kwa kububujikwa na machozi ya furaha wanasahau kabisa jukwaaniShuhuda zimekuwa adimu Sana huku, PSRS wameaanza kupoteza mvuto placement zinatoka Kwa mafungu, pdf nyepes nyepes Alafu za mafungu mafungu, advertisment zakushtua shutua, call for interview za kuboost, yaan kiufupu saiv wapo wapo
Shuhuda zimekuwa adimu Sana huku, PSRS wameaanza kupoteza mvuto placement zinatoka Kwa mafungu, pdf nyepes nyepes Alafu za mafungu mafungu, advertisment zakushtua shutua, call for interview za kuboost, yaan kiufupu saiv wapo wapo Tu
Hilo senge lililovaa njano nalichukia,kuna kipindi nilisahau tu kuchukua ID likanikazia hadi ikabidi niende kwa serikali za mitaa pale makuru kuchukua barua ya utambulisho.Wakandaji wako mapumzikoni
View attachment 3182877
Uliweza kufanya Interview siku hiyo hiyo?Hilo senge lililovaa njano nalichukia,kuna kipindi nilisahau tu kuchukua ID likanikazia hadi ikabidi niende kwa serikali za mitaa pale makuru kuchukua barua ya utambulisho.
NdioUliweza kufanya Interview siku hiyo hiyo?
Bila shaka ilikuwa Oral maana kutumia muda mrefu kusaka barua na ukafanya, kwenye written usingewezaNdio