Bonsipele69
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 382
- 945
Wanaotaka TRA na BOT wakipata ata halmashaur waendeUna maoni gani kuhusu huo ujumbe
Wanaotaka TRA na BOT wakipata ata halmashaur waendeUna maoni gani kuhusu huo ujumbe
Ngoja akakutane na njemba ndio inampa barua 😂Aandae na 10k ya mdada mzuri😁
Hapo sawa.Wanaotaka TRA na BOT wakipata ata halmashaur waende
kabisaHapo sawa.
Kiufupi ni kuwa huo utaratibu utazuia urasimu wa watu kuchagua vituo vya kazi wanavyovitaka.
So mtu akijua itakuwa vigumu kupata nafasi tena kupitia PSRS anaamua aende kuripoti, sasa suala la kwenda anapopataka litakuwa mikononi mwake kuhusu maamuzi ya kuhama.
😂😂Ataishia kucheka tuNgoja akakutane na njemba ndio inampa barua 😂
mmh sioni hata dalili 🤣 🤣Bado zamu Yako upo njiani😅
aya ngoja tusubiriUtajua tuu, subiri 😂
Dah ! Rahsully kimya sana , jamaa wameamua kutupigia chini nini maana hii sio data base tena aisee tunaenda miaka miwili sasa hivi ,maana ni mwaka na miezi minne sasa toka tumepiga ile interviewUmeme wenzangu mko wapi nmewamiss,Tuendelee kusubir hatuna namna.
Kaka I pray for You,,,one day Yes.pdf zote zingekuaga zinatoka nzitonzito kama hivi sa hivi wote humu tungekua tunapigwa na ma AC
Ukirudi na barua utoe mrejesho ,wa mwajiri na wapi unakwenda tuje kukutembelea tukipunga ipepo😂🤣Asante kwa kunikumbusha rafiki yangu.
Nadhani Zote nitazitekeleza Elfu 10 mtu analamba,
Suti tayari Niko naelekea migiro hapa.
Lazima nitoe sadaka.
Uwekezaji muhimu mshahara hautoshi
ahsante sana ndugu yangu nakutakia kila lakheriKaka I pray for You,,,one day Yes.
Nakuombea kaka.
I feel you in next few daysAsante kwa kunikumbusha rafiki yangu.
Nadhani Zote nitazitekeleza Elfu 10 mtu analamba,
Suti tayari Niko naelekea migiro hapa.
Lazima nitoe sadaka.
Uwekezaji muhimu mshahara hautoshi
Kwan wamejua wanaenda wap wizaran au tamisemi tujue moja?Nadhan watu wa afya wameisha kwenye huu uzi
HATUA ZA KUCHUKUA BARUA YA KAZIKwan wamejua wanaenda wap wizaran au tamisemi tujue moja?
Waishe tu, na sisi wengine tukumbukwe. Nimetoka kuongeza received nyingine ya NECTA muda sio mrefuNadhan watu wa afya wameisha kwenye huu uzi
HATUA ZA KUCHUKUA BARUA YA KAZI
1. HATUA YA KWANZA NI KWENDA ASHA ROSE KUCHUKUA BARUA YA PLACEMENT. LKN HAINA KITUO CHA KAZI.
2. UNAENDA WIZARANI AREA D HAPO UTAJIANDIKISHA NA KUPEWA FORM MBILI MOJA YA AFYA NA NYINGNE NA VENDOR AU MALIPO , AMBAYO UNAJAZA TAARIFA ZA BANK NA KWENDA BANK KUSAINIWA.
3. UNATOA COPY 2 KWA KILA VYETI NA CV ILA VYETI VYA FORM 4 NA 6 COPY 3, CURRENTLY PASSPORT 2.
4. UNAVIPELEKA TENA WIZARANI NDO UTAPEWA BARUA YA KUPANGIWA KITUO.