Public Prosecutor
Member
- Jul 14, 2024
- 17
- 38
Shukran kiongozHongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
Shukran kiongozHongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
Shukran kakaHongera sana mkuu. Ukawe mtumishi mwema, na Mungu akutangulie kwenye majukumu yako mapya
Shukran familiaOngera sana kiongozi, mungu akawe na ww katika uajibikaji wa taifa.
Usije ukakisaau kitu ambacho mtaa kilikufunza hapo awali.
Hili kwa sasa hatujalijua. Tunasubiri wakachukue barua PSRS then KM Afya. Barua za katibu ndio zitasema sasa kituo ni wapi na mwajiri ni nani.
Wenyewe wangetolea ufafanuzi hili jambo, wamewaacha watu dilemma, sio makundi sogozi ya watsapp,sio jf, sio insta watu wanajiuliza, wangejibu ili watu watulieHadi sasa kuna kada za afya ambazo zimeshapangiwa watu wengi zaidi kuliko nafasi zilizotangazwa:
1. Nursing officer II walitangaza nafasi 301 hadi sasa wameajiri 404 wizara ya afya!
2. Pharmacist II walitangaza nafasi 128 hadi sasa wameajiri 164 wizara ya afya
3. Health lab. scientist II walitangaza nafasi 57 hadi sasa wameajiri 214 wizara ya afya
4. Technologist pharmacist II walitangaza nafasi 128 hadi sasa wameajiri 236 wizara ya afya.
Lakini kuna kada ya afya ambayo imeajiri watu wanaolingana na nafasi zilizotangazwa: Medical Officer II walitangaza nafasi 726 hadi sasa wameajiri 726 (pdf mbili 681 na 45) wizara ya afya.
Swali: Ina maana na nafasi za mikoa(kwenye halmashauri) nazo zitatoka au ndio hao hao waliopangwa wizara ya afya?
Japo jambo hili limejadiliwa humu lakini tunaomba wahusika hasa waliomu humu jukwaani watupe ufafanuzi wa uhakika!
Nafasi za kada za afya zilikuwa zinatangazwa idadi yake kwa jumla, halafu zinagawiwa kimkoa. Kwa mfano Pharmacists zilikuwa jumla ya nafasi 128. Halafu hizi nafasi ziligawanywa kimkoa kama kilimanjaro 4, Lindi 9, Manyara 1, Mara 8, Mbeya 6 nk hadi mikoa yote. Ukijumlisha hizo nafasi za mikoa unapata 128.Wenyewe wangetolea ufafanuzi hili jambo, wamewaacha watu dilemma, sio makundi sogozi ya watsapp,sio jf, sio insta watu wanajiuliza, wangejibu ili watu watulie
Uanze maisha gani?Waache ungese, sisi tunawasubiri wao tuanze maisha, na wao wanangoja uchaguzi upite.
We vuka tuu bodaHivi huko utumishi nini kimewakuta jamani, maana hata kuita tu usaili wa taasisi mbalimbali imekuwa ni mwendo wa kobe. Tufanyaje sasa ili wachangamshe michakato hiyo. Mbona juzi juzi tu waliita halmashari mbalimbali kwa fujo?!!!
Kama hizo ajira mpaka mwakani watuambie, wengine tupo na mipango ya kuvuka boda kutafuta maisha nchi zingine aisee.
Kuna watu wamefanya interview tangia 2023 Hadi leo ni hola
Upuuzi gani huu ?
Kuna watu wamefanya interview tangia 2023 Hadi leo ni hola
Upuuzi gani huu ?
Hatari iko wapi?Duuuh hatariiii
Hapana,,Kwani afya wako chin ya wizara gani? Labda tuanzie hapo... Si wizara ya afya au?
Una maoni gani kuhusu huo ujumbe[emoji1787][emoji1787]
Watu hatujalamba asaliHatari iko wapi?
Hongera sana mkuu, Mwenyezi Mungu akutangulie na kukuepusha na mabalaa huko kwenye asali🙏🙏MUNGU NI MWEMA NA MIMI NIMEPATA 🙌
Aandae na 10k ya mdada mzuri😁Bila shaka kashanyoosha suti
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Aandae na 10k ya mdada mzuri[emoji16]