HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hizo wanachukua vipanga wanaopata first seating sio wale wanaokosa na kusubiri database

Utumishi ukifaulu wale wa kwanza hupangiwa kwa muajiri ambaye ndipo ulifanyiwa interview wale wanaobaki database ndio hupangiwa kwenye muajiri mwingne ambaye ana uhitajii,,,,,, utumishi wao wanachukulia taasisi zote ni sawa.
 
Kweli kabisa
 
Hizo wanachukua vipanga wanaopata first seating sio wale wanaokosa na kusubiri database
Tumekalili vibaya.....
Pitia vinzuri mikeka...
Pitia vinzuri kanuni zao Utumishi utagundua kitu
UTUMISHI hawana ubaguzi huo ....
Kuna Taasisi tamu hata hao vipanga hawapo ukisoma Tangazo lao la ajira Taasisi utashika kichwa(wanachotaka wao Uwajibikaji )
 
Hongera sana Utawala2025 , God is truly faithful kwakweli. Tumekuona humu in a while na kiukweli ulikuwa mmoja wa wanaoactivate hii thread. Kwa wengine tuliobaki, mbele tunaendelea. We keep on trying, praying and daring hata kama ni nafasi moja TU. Hakuna kinachodumu milele duniani, kila hali ni transitional tu. Our Master Author anaandika hadithi zetu kwa muda aonao ni sahihi, lets keep pressing on.
 
Tumekalili vibaya.....
Pitia vinzuri mikeka...
Pitia vinzuri kanuni zao Utumishi utagundua kitu
UTUMISHI hawana ubaguzi huo ....
Kuna Taasisi tamu hata hao vipanga hawapo ukisoma Tangazo lao la ajira Taasisi utashika kichwa(wanachotaka wao Uwajibikaji )
Sahihii kabisa,
 
Back
Top Bottom