PageNoteFound
Senior Member
- Aug 18, 2024
- 159
- 421
Ushauri: kabla hujaenda migiro katoe zaka kwanzašMungu kwanzaš¤
Unakute alishamuhaidi mungu vitu ambavyo hata utekelezaji wake si mchezoo.. Jobless tunapitia changamoto sanaa
Ushauri: kabla hujaenda migiro katoe zaka kwanzašMungu kwanzaš¤
šššAcha kabisa kaka, Imagine unamuhaidi kujenga kanisa peke yakoš„“š„“Unakute alishamuhaidi mungu vitu ambavyo hata utekelezaji wake si mchezoo.. Jobless tunapitia changamoto sanaa
Kama alikuwa hana madeni, lakini wengi wetu mishahara kama miwili hivi ni kulipa madeni tuUshauri: kabla hujaenda migiro katoe zaka kwanzašMungu kwanzaš¤
Tafrani tupu. Mimi nilifurahi walimu kuitwa usaili ili wamalizane nao na sie gombania goli tuendelee lakini hali ishakuwa mbaya sie wengine tutaitwa usaili mwakani kama ndio mpaka wamalizane na walimu.Sisi waalimu itakuwaje wakuu sail zetu zimeairishwaa aisee
Mkuu bora wawapige chini kwanza haki sawa ifanyike tu au kama wameshindwa wawaludishe tamisemi tuTafrani tupu. Mimi nilifurahi walimu kuitwa usaili ili wamalizane nao na sie gombania goli tuendelee lakini hali ishakuwa mbaya sie wengine tutaitwa usaili mwakani kama ndio mpaka wamalizane na walimu.
Take home kwa ambae alisoma kwa mkopo ni Tsh 897,220HV MD tamisemi take-home anabakiwa na kama sh ngap
Kaa kwa kutulia mwalimu. Zamu yako ya kukandwa itafika. Wamesema kuahirishwa sio kufutwaJaman ko sisi waalimu itakuwaje sasa na interview hazipo tena????
Ndio neema hiyo. Maana utaitwa kwenye usaili soonTafrani tupu. Mimi nilifurahi walimu kuitwa usaili ili wamalizane nao na sie gombania goli tuendelee lakini hali ishakuwa mbaya sie wengine tutaitwa usaili mwakani kama ndio mpaka wamalizane na walimu.
šššAcha kabisa kaka, Imagine unamuhaidi kujenga kanisa peke yakoš„“š„“
MD -Tamisemi washaita?HV MD tamisemi take-home anabakiwa na kama sh ngap
dah hongera sana Utawala2025 tumepoteza mtu muhimu sanaššššASANTE MUNGU NA MALAIKA WAKE ATIMAYE NIMEPATA KAZI...
Haikuwa Rahisi.
vp unakufa auš¤£š¤£š¤£Huu mwaka hauishi nawaaga š
Bado zamu Yako upo njianišvp unakufa auš¤£š¤£š¤£
Nahisi litakuwepo maana nasikia IT ni mwananchiTutegemee PDF na Leo jumapili?? Au Leo bila bila ??