HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Unasema unaenda wizarani, ni wizara ipi? Ni wizara ya utumishi au wizara ya Afya (kwa post za afya zinazotoka sasa)?
Je kuna mtu humu ndani ambaye amepitia huu mchakato na akapangiwa hospitali zilizo chini ya halmashauri japo jina lake lilitoka mwajiri akiwa wizara ya afya?
 
Tarehe 16/10...............Pdf 2
Tarehe 17/10 ..............pdf 0
Tarehe 18/10 ...............pdf 1
Tarehe 19/10 ................Pdf 2
Tarehe 20/10 ................Pdf 1
Tarehe 21/10 .............. Predict!!
 
Tarehe 16/10...............Pdf 2
Tarehe 17/10 ..............pdf 0
Tarehe 18/10 ...............pdf 1
Tarehe 19/10 ................Pdf 2
Tarehe 20/10 ................Pdf 1
Tarehe 21/10 .............. Predict!!
Leo bila bila
 
Watu tumechoka kusubiri mtaani, usipokuwa na mchongo wa maana jua linakuwakia vibaya
 

Attachments

  • sekretarieti ya ajira.jpg
    sekretarieti ya ajira.jpg
    65.3 KB · Views: 32
Utaacha watu wazimie! Placement za afya bado sana! Hadi sasa MDA tu ndio wametoa placent lakini LGA bado kabisa!! Labda kama wameunganisha MDA na LGA chini ya mwanvuli wa wizara ya afya!
😂😂😂Hawa ni wizara ya afya pamoja na tamisemi zote umo umo, watu wamechukuliwa idadi tofauti na tangazo la kazi, mpaka sasa wizara ya afya 1 tamisemi 0
 
Back
Top Bottom