Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,762
Hapa nimekuelewa lakini nimeona idadi wamefikia waliyotaka na wamezidi kwa waliohitaji na hapo wamepeleka MDA.Kimuundo ni ngumu mwajiriwa wa wizara kupangiwa kituo Halmashauri. I mean kaka unajua muundo wa LG ulivyo.
Labda PSRS wamekosea pale kwenye mwajiri. İla ngoja tuone
kwa upande wa LGA unajiuliza itakuaje?